MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: SADC Yabaini Changamoto Kuu katika Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Kikanda
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > SADC Yabaini Changamoto Kuu katika Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Kikanda
Habari

SADC Yabaini Changamoto Kuu katika Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Kikanda

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

KIKAO cha Makatibu Wakuu na Maofisa Waandamizi wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kimeanza leo, Machi 04 2026, jijini Pretoria, Afrika Kusini, kujadili utekelezaji wa Mpango Mkakati Elekezi wa Maendeleo ya Kikanda (RISDP) wa mwaka 2020-2030.

Ujumbe wa Tanzania unaongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Shaib Mussa, unashiriki kikao hicho cha utangulizi kuelekea Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC utakaofanyika Machi 12-13, 2026.

Katika hotuba za ufunguzi, Mwenyekiti wa kikao, Balozi Tebogo Seokolo, na Katibu Mtendaji wa SADC, Elias Magosi, walisisitiza umuhimu wa kutathmini ufanisi wa RISDP na kubaini changamoto zinazokwamisha utekelezaji wake.

Habari Picha 11302

Changamoto zilizobainishwa ni pamoja na uhaba wa rasilimali fedha, tofauti kati ya vipaumbele vya kitaifa na kikanda, na kutoridhiana kati ya sera zilizowekwa na utekelezaji halisi wa mpango.

Vilevile, utekelezaji umekabiliwa na madhara ya UVIKO-19, mabadiliko ya tabianchi, changamoto za kiusalama, uhaba wa nishati, uhakika wa chakula, na mabadiliko ya siasa za kimataifa.

Balozi Seokolo amesisitiza kwamba kukabiliana na changamoto hizo kunahitaji mikakati thabiti na utekelezaji wa pamoja ili nchi wanachama ziweze kufanikisha malengo ya RISDP kwa kipindi cha miaka mitano iliyosalia (2026-2030).

Habari Picha 11303
Habari Picha 11304
Habari Picha 11305
Habari Picha 11306
Habari Picha 11307

You Might Also Like

Rais Dk Mwinyi Kukata Keki Sabasaba

Tafiti Nguzo Ya Maendeleo Ya Biashara, Uchumi – Katambi

Miradi 10 Ya Kimkakati TPA Kuinua Uchumi

Vita Mashariki ya Kati Vyatikisa Uchumi wa SADC, Mawaziri Watakiwa Kuchukua Hatua

Wagonjwa Wenye Maumivu Makali Kupatiwa Tiba Radiolojia MNH

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Serikali Yahamasisha  Kuongeza Fursa Za Mafunzo Kwa Vijana
Next Article Tembo Wasaidia Kueneza, Kuotesha Mimea Asilia
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali Yaweka Mkazo Kufufua Viwanda Musoma Ili Kuongeza Ajira
Habari April 24, 2026
Program Ya Mama Samia Ya Kurasimisha Ujuzi Yazinduliwa
Habari April 23, 2026
TEA, Wizara ya Elimu Zanzibar Kushirikiana Kuimarisha Miradi ya Elimu
Habari April 23, 2026
Bajeti Yadhihirisha Uhakika Wa Nishati Nchini
Habari April 23, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?