Na Mwandishi Wetu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefika katika dua ya kumuonbea Rais Mstaafu Wa awamu ya pili, Marehemu Mzee Ali Hassan Mwinyi iliyofanyika katika Kijiji cha Mangapwani leo Oktoba 2,2025.

