MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Nyamhokya Atoa Wito kwa Wanawake Kusimama Imara Kiuchumi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Nyamhokya Atoa Wito kwa Wanawake Kusimama Imara Kiuchumi
Habari

Nyamhokya Atoa Wito kwa Wanawake Kusimama Imara Kiuchumi

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DODOMA: RAIS wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhokya, amesema kuwa shirikisho hilo lipo mstari wa mbele kusimamia haki na maslahi ya wafanyakazi nchini.

Nyamhokya, ambaye pia ni Mwenyekiti Taifa wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU), amesema hayo leo Machi 7, 2026 wakati wa kongamano la wafanyakazi wanawake Tanzania lililoandaliwa na TUCTA.

Habari Picha 11364

Akizungumza katika kongamano hilo, Nyamhokya amesema mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, hivyo amewataka wanawake kupendana na kushirikiana, huku wakitofautisha masuala ya mtaani na yale ya kazini.

“Mwenzako kama ni mzuri kazini, mtumie na mshirikishe. Kina mama pendaneni. Pia msisahau kwamba mnapokuwa kazini mnakuwa na fursa za ajira, hivyo jiendelezeni zaidi,” amesema.

Habari Picha 11361

Aidha, amesema kauli mbiu ya kongamano hilo inahimiza haki na usawa kwa mwanamke na msichana, akisisitiza umuhimu wa kuwalinda wasichana wanaoanza ajira mpya.

Nyamhokya ameongeza kuwa kuna taasisi nyingi zinazosaidia kuwawezesha wanawake kiuchumi, hivyo amewahimiza wanawake kuzitumia fursa hizo ili kujiimarisha zaidi kiuchumi.

“Niwasisitize wanawake kusimama imara na kuwa macho katika kutetea haki zao pamoja na kujiletea maendeleo,” amesema.

You Might Also Like

Tanzania Yapiga Hatua Kwenye Elimu ya Kidijitali Kupitia Ushirikiano na China

Kiwanda cha Sukari Mkulazi Chaanza Kuleta Tija, Sangu Apongeza Uwekezaji wa NSSF na Magereza

Bashungwa Asema Wafungwa Kupewa Mafunzo Ya Ufundi Stadi

NEMC Kupambana Na Magugu Maji Ziwa Victoria

Tanzania, Uingereza Kushirikiana Kuendeleza madini.

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Balozi Seokolo Atoa Wito Kuimarisha Biashara na Viwanda Kanda ya SADC
Next Article TASFAM Yawawezesha Wanawake wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Kuadhimisha Siku ya Mwanamke
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali Yaingia Makubaliano Ya Ushirikiano Na DIT Kuimarisha Usimamizi Wa Mataifa
Habari June 8, 2026
Wananchi Waelimishwa Masharti ya Kubadilisha Noti Zilizochakaa, Kuungua na Kuchanika
Habari June 7, 2026
DMI Yawaalika Vijana Kujiunga Na Masomo Ya Ubaharia
Habari June 6, 2026
Taifa Gas Yaendelea Kuongoza Kampeni ya Nishati Safi kwa Taasisi na Sekta ya Utalii Tanzania
Habari June 6, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?