MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mwalunenge Kuunganisha Mbeya Mjini, Kusukuma Maendeleo Na Ajira Kwa Vijana
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mwalunenge Kuunganisha Mbeya Mjini, Kusukuma Maendeleo Na Ajira Kwa Vijana
Habari

Mwalunenge Kuunganisha Mbeya Mjini, Kusukuma Maendeleo Na Ajira Kwa Vijana

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: MBUNGE wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amesema ataunganisha  Mbeya Mjini kuwa eneo moja linaloshirikiana.
Amesema hayo leo Novemba 12, 2025 katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Amesema maendeleo ya haraka yatawezekana iwapo wananchi watashirikiana kikamilifu.
Habari Picha 10282
“Muda wangu wa miaka mitano jimbo la Mbeya Mjini ni kusaidia wananchi kupata kipato. Miradi yote haiwezi kufanikishwa bila amani,” amesema Mwalulenge, akiwahimiza vijana kulinda utulivu wa jimbo hilo.
Mbunge amesema ajira kwa vijana na kufanya Mbeya kitovu cha uchumi ni sehemu ya ahadi zake ambazo anataka kuhakikisha zinafanikiwa.
Amesema kila hatua ya maendeleo ni kazi ya pamoja kati ya wananchi na viongozi.
Mwalunenge amedokeza kuwa anatarajia kushirikiana na Waziri Mkuu atakayethibitishwa pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan ili kuhakikisha miradi yote inatekelezwa kwa ufanisi.
Amesisitiza kuwa Mbeya mpya inahitaji mshikamano wa wananchi, viongozi na wadau wengine.

You Might Also Like

Taasisi Za Serikali Zapewa Wiki Tano Kujiunga Na Mfumo

Ridhiwan Kikwete atembelea kituo cha kulelea watoto

Watahiniwa 72 wa kidato cha nne wafutiwa mtihani kwa udanganyifu, kuandika lugha za matusi

Hazina yaanza kuwalipa wanachama 465 wa TALGWU

Mawaziri Tanzania Profesa Mkenda, Silaa Mkutanoni Rwanda

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mbunge Ulanga Aweka Mikakati Kuufungua Mkoa wa Morogoro Kimaendeleo
Next Article Mwigulu: Wavivu, Wazembe, Wala Rushwa Serikalini Jiandaeni Na Fyekeo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

 Wanasheria Wa TANESCO Watakiwa Kuendelea Kusimamia Maadili Na Taaluma-Twange
Habari July 31, 2026
WRRB Kuanza Kuingiza Sekta Ya Mifugo Kwenye Mfumo Wa Stakabadhi Za Ghala
Habari July 31, 2026
Wadau Wa Kilimo Iondoeni Nchi Kwenye Uchuuzi Wa Mafuta Ya Kula-Chongolo
Habari July 30, 2026
Wadau Wa Kilimo Iondoeni Nchi Kwenye Uchuuzi Wa Mafuta Ya Kula-Chongolo
Habari July 30, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?