MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mkuu wa Mkoa akabidhi matrekta kwa wakulima kutoka Pass Leasing
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mkuu wa Mkoa akabidhi matrekta kwa wakulima kutoka Pass Leasing
Habari

Mkuu wa Mkoa akabidhi matrekta kwa wakulima kutoka Pass Leasing

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: WAKULIMA wameishukuru Kampuni ya Pass Leasing kwa kuweza kuwadhamini mikopo ya matrekta, gari la kubeba mizigo na vifaa vingine.
Akizungumza katika hafla ya ugawaji wa vifaa hivyo, katika Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi,  Mkuu wa mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule, amesema
kilimo ni uti wa mgongo isiwe kwa maneno bali iwe kwa vitendo.
Amesema wakulima wanaendelea kuelewa umuhimu wa kutumia vifaa vya kisasa
Ikiwa ni pamoja na kuamini juhudi kubwa zinazofanywa na serikali.
Amesema  wamegawa trekta 12, gari moja la kubebea mizigo, mashine ndogo ya kuchakata mazao ikiwa ni katika  kuleta mabadiliko  makubwa kwa watumiaji wa zana za kilimo waliokuwa wanalima kwa mkono
Amesema faida ya kutumia trekta itamwezesha mkulima kulima eka nyingi  kwa wakati mmoja, pia hawatalima mashamba yao pekee bali na ya wengine katika maeneo yao kwa kuwakodisha.
“Nawapongeza sana kampuni ya Pass Leasing kwa utashi huu mkubwa mlio nao na mmedhamiria kusaidia kundi hili la wakulima ambalo ndilo kundi kubwa la Watanzania, niwapongeze sana kwasababu serikali inaanzisha mpango lakini inafanya kazi na wadau mbalimbali ili kufikia malengo yake,” amesema.
Amesema hayo wanayoyafanya ni wazi kwamba wamemwelewa vizuri Rais  Samia Suluhu Hassan, hivyo kwa kufanya hivyo wameyapa maonyesho hayo thamani.
Amewataka wakulima waliokabidhiwa vifaa hivyo wavitumie kwa uangalifu ili iwe faida kwao na kwa wengine.
Naye mnufaika Minza Mlela  ameishukuru kampuni ya Pass Leasing kwa kumkubadhi trekta ambayo itaenda kufanya mapinduzi makubwa kwenye sekta ya kilimo ikiwa ni pamoja na kumrahisishia kazi zake.

You Might Also Like

CMA Inasaidia Vijana Kuwa Na Nafasi Bora Kazini

Watumishi Wanawake Wa TEA wajitoa Kwa Jamii

Sera mpya ya biashara irahisishe ufanyaji biashara

Kikwete: Waambieni Tunataka Maendeleo Sio Maneno

Polisi Kufuatilia Wanaochuja Mafuta Na Mifuko Kwenye Malori

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Shemdoe apongeza
Next Article Jeshi la polisi kumhoji anayesambaza taarifa za uongo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?