MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mfumo Wa Kuwabana Wachafuzi Wa Choo umetengenezwa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mfumo Wa Kuwabana Wachafuzi Wa Choo umetengenezwa
Habari

Mfumo Wa Kuwabana Wachafuzi Wa Choo umetengenezwa

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DAR ES SALAAM: MFUMO wa kumzuia mtumiaji wa choo asiweze kutoka baada ya matumizi mpaka atakapo ‘ flash’ ndipo mlango utafunguka, umetengenezwa ili kuimarisha usafi chooni.
Mkufunzi wa Chuo cha Al- Maktoum  (AMCET), Nyazara Haji ameeleza hayo alipozungumza na Mfanyakazi Tanzania katika Maadhimisho ya miaka 30 ya uanzishwaji wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi  (VETA), ikiwa ni siku ya pili katika Kituo cha Kimataifacha Mikutano cha Julius Nyerer Dar es Salaam (JICC).
” Kupitia mfumo huo amesema ukidumbukiza Sh 500 mlango utafunguka ukiingia unajifunga. Utafanya shughuli zako ukimaliza, unaflash ndiopo mlango utafunguka,” amesema.
Amesema kwa kufanya hivyo usafi wa choo utaimarika.
Akielezea teknolojia hiyo amesema mtumiaji atalipia fedha hata kama hakuna mtu anayepokea kwa kudumbukiza Sh 500 kwenye mashine ndipo mlango utafunguka.
Amesema mara nyingi kwenye vyoo vya jumuiya watu wengi hutumia choo bila kusafisha.

You Might Also Like

Mbunge Msita Ataka Ukarabati Wa Haraka Barabara Zilizoharibiwa Na Mvua

Mabasi  Mapya Ya Mwendokasi Yaanza Kazi Njia Ya  Kimara, Gerezani na Kivukoni

TAREWU Wapata Uongozi Mpya

Ikomba: Aliishi Na Watoto Wiki Sita Akiwafundisha Kabla Ya Mtihani WaTaifa

TARI Yawapa Elimu Wakulima, Maofisa Ugani 165 Kilimo Cha Matunda

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article VETA Mara Wabuni Mtambo Wa Kuchakata Maji Kwa Samaki Wanaofugwa
Next Article MSD Yaokoa Zaidi Ya Mil. 15
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali Yaingia Makubaliano Ya Ushirikiano Na DIT Kuimarisha Usimamizi Wa Mataifa
Habari June 8, 2026
Wananchi Waelimishwa Masharti ya Kubadilisha Noti Zilizochakaa, Kuungua na Kuchanika
Habari June 7, 2026
DMI Yawaalika Vijana Kujiunga Na Masomo Ya Ubaharia
Habari June 6, 2026
Taifa Gas Yaendelea Kuongoza Kampeni ya Nishati Safi kwa Taasisi na Sekta ya Utalii Tanzania
Habari June 6, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?