MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mama Mchumgaji TAG Zinga, Asheherekea Siku Ya Kuzaliwa Na Watoto Yatima, Mazingira Magumu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mama Mchumgaji TAG Zinga, Asheherekea Siku Ya Kuzaliwa Na Watoto Yatima, Mazingira Magumu
Habari

Mama Mchumgaji TAG Zinga, Asheherekea Siku Ya Kuzaliwa Na Watoto Yatima, Mazingira Magumu

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu.

PWANI: MAMA Mchungaji wa Kanisa la  Zinga Victory Tanzania Assemblies of God (TAG), lililoko Bagamoyo, Catherine Jovin amesheherekea siku yake ya kuzaliwa Juni Mosi, kwa kuungana na watoto Yatima na Mazingira Magumu katika Kituo cha Amani Orphanage  Centre.
Akiwa kituoni hapo, Catherine amesema katika siku yake ya kuzaliwa ameona ni bora kuungana na watoto hayo ili kutoa kile  Mungu alimchojalia, ambacho alifanya hivyo kwa kushirikiana na wanawake wa kanisa hilo.
Akizungumza na watoto hao, aliwataka  wamtafute Mungu na kusoma kwa bidii,
“Ukiona huelewi darasani unasahau haraka  vitu havieleweki, ni lazima iwepo bidii na umtafute Mungu kwa maombi.
” Soma pale shuleni, fanya home work kwa wakati. Zile kazi mnazopewa shuleni fanya kwa wakati, rudisha daftari kwa mwalimu usahishiwe ukikosea mwambie mwalimu kwa nini hapa nimekosea, onyesha bidii, hakuna nesi ambaye hajasoma, hakuna mwanajeshi ambaye hajasoma,” amesema hayo mama Mchungaji Catherine alipozungumzana watoto hao.
Amewaambia kwa kuwa kila mmoja anatamani kuwa fulani katika jamii, ni bora wasome kwa bidii kufikia ndoto zao, na kwamba wakimtumikia Mungu atawapa afya njema, atazidisha uzima ndani yao na kuwapa yote wanayoyahitaji,
Pia aliwakumbusha watoto hao kumpenda Mungu, aliwakumbusha kuwatii wazazi na kufanya yote wanayoelekezwa, ikiwa ni pamoja na kuishi maisha ya utakatifu.
Naye Happy Mitunu amewataka watoto hao wampende Mungu kwa kuwa  atawafanikisha katika ndoto wanazotamani kuzifikia.
Kwa upande wake Meneja wa Kituo hicho chenye watoto 37, Decline Tirubuza alimshukuru Mama Mchungaji Catherine Jovin na ujumbe alioongozana nao kwa sadaka nzuri ya unga wa ugali, sukari na juisi waliyoikabidhi kwa kituo hicho kwa ajili ya kuhudumia watoto hao.
Amesema wakati wa masomo  watoto 22 wanabakia kituoni hapo na wengine 15 wanakuwa shule za bweni hadi zitakapofungwa.
Amesema kituo hicho kinafanya kazi na Ustawi wa Jamii  Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, na ndio wanaopeleka watoto kituoni hapo.

You Might Also Like

Tume Ya Kurekebisha Sheria Tanzania Kuipitia Sheria Ya Takwimu

SOKO LA MADINI LA 43 LA ZINDULIWA TUNDURU RUVUMA.

Wananchi Wachukue Hatua Iwapo Hawajaridhika Na Huduma-TCF

Uchaguzi Serikali Ya Mitaa kufanyika Novemba 27

Tanzania Kwa Mara Nyingine Mwenyeji Kongamano La eLearning Afrika

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article CCCC Yaandaa Tamasha La Dragon Boat
Next Article SUA Chatumia Ngamia Mafunzo Ya Vitendo Kwa Wanafunzi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
PURA Yajipanga Gesi Asilia Itumike Kwenye Magari
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?