MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Katibu Mkuu Mwajuma Atunukiwa Tuzo, Ahimiza Mshikamano Sekta ya Maji
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Katibu Mkuu Mwajuma Atunukiwa Tuzo, Ahimiza Mshikamano Sekta ya Maji
Habari

Katibu Mkuu Mwajuma Atunukiwa Tuzo, Ahimiza Mshikamano Sekta ya Maji

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maji, Mwajuma Waziri, amesisitiza umuhimu wa kudumisha mshikamano, weledi na uwajibikaji katika sekta ya maji nchini.
Amesema juhudi za pamoja zinapaswa kuendelezwa ili kuhakikisha huduma ya maji safi na salama inawafikia wananchi wote kwa ufanisi zaidi.
Mwajuma ametoa kauli hiyo muda mfupi baada ya kutambuliwa na wafanyakazi wanawake wa sekta ya maji, waliomkabidhi tuzo maalum kwa kuthamini mchango wake mkubwa katika kuimarisha na kuendeleza sekta hiyo nchini.
Habari Picha 11557
Aidha, aliwashukuru wanawake hao kwa heshima waliompatia.
Katibu Mkuu huyo pia amewahi kuibuka kinara kama Mhandisi Mama Bora nchini Tanzania, jambo linalodhihirisha umahiri wake katika taaluma na uongozi.
Hafla hiyo fupi imefanyika  katika Ofisi za Bonde la Wami-Ruvu mkoani Morogoro, sambamba na tathmini ya maadhimisho ya Siku ya Maji Duniani sekta ambayo inawagusa kwa kiasi kikubwa wanawake nchini.
Habari Picha 11559
Akikabidhi tuzo hiyo kwa niaba ya wafanyakazi wanawake wa sekta ya maji, Mkurugenzi wa Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Nyasa, Elice Engelbert, amesema hatua hiyo inalenga kutambua uongozi thabiti wa Katibu Mkuu Mwajuma pamoja na mchango wake katika kusimamia utendaji kazi wenye tija,
Unaozingatia usawa wa kijinsia na kuleta matokeo chanya kwa wananchi.

You Might Also Like

GST Yaelezea Mafanikio Yake

Waziri Mkuu Apongeza Huduma Kidijitali za NSSF, Maonesho Ya Madini Geita

Ridhiwan Atembelewa Na Watendaji NMB

Wanataaluma Wahimizwa Kutumia Tafiti Kama Chachu ya Mabadiliko ya Jamii

Mbunge Kuchauka azindua kambi kuhamasisha Uchaguzi Serikali za  Mitaa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Dkt. Nchimbi Azindua Mfumo Mpya wa Utabiri wa Kiasi cha Maji Morogoro
Next Article TPHPA Yazidisha Ulinzi wa Mazao, Kudhibiti Magonjwa ya Viazi, Funza Weupe
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Tanzania Yajikita Katika Ushirikiano wa Kikanda Kuhusu Maji
Habari March 25, 2026
TPHPA Yazidisha Ulinzi wa Mazao, Kudhibiti Magonjwa ya Viazi, Funza Weupe
Habari March 25, 2026
Dkt. Nchimbi Azindua Mfumo Mpya wa Utabiri wa Kiasi cha Maji Morogoro
Habari March 23, 2026
Upotevu Wa Maji Kipimo Cha Utendaji Wa Wakurugenzi Wa Mamlaka Za Maji
Habari March 20, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?