MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Dkt. Nchimbi Azindua Mfumo Mpya wa Utabiri wa Kiasi cha Maji Morogoro
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Dkt. Nchimbi Azindua Mfumo Mpya wa Utabiri wa Kiasi cha Maji Morogoro
Habari

Dkt. Nchimbi Azindua Mfumo Mpya wa Utabiri wa Kiasi cha Maji Morogoro

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amezindua rasmi Mfumo wa Utabiri wa Kiasi cha Maji kwenye mito nchini, hatua inayolenga kuboresha usimamizi wa rasilimali za maji.
Uzinduzi huo umefanyika kwenye Bwawa la Mindu, jijini Morogoro, ambapo Dkt. Nchimbi alikagua kwa karibu jinsi Wizara ya Maji inavyoshirikiana katika kuhifadhi, kulinda, na kukuza rasilimali hizo muhimu.
Habari Picha 11551
Akizungumza katika hafla hiyo, Mkurugenzi wa Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu, Elibariki Mmasi, amefafanua kuwa mfumo huu ni sehemu ya juhudi za Wizara ya Maji kupunguza changamoto zinazokabili sekta hiyo kwa kutoa taarifa sahihi na za wakati kuhusu viwango vya maji.
Amebainisha kuwa Bwawa la Mindu linatarajiwa kufaidika na mfumo huo, kwa kuwa linapokea maji kutoka sehemu mbalimbali za nchi na linachangia zaidi ya asilimia 70 ya usambazaji wa maji safi mjini Morogoro.
Habari Picha 11552
Aidha, sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Maji Duniani na kilele cha Wiki ya Maji Tanzania, Dkt. Nchimbi alipanda miti rafiki wa maji kwenye chanzo hicho, akisisitiza umuhimu wa kulinda na kuhifadhi rasilimali za maji kwa vizazi vijavyo.
Habari Picha 11553

You Might Also Like

Wizara ya Nishati Yajivunia Jitihada Katika Kulinda Haki, Usawa na Kuwawezesha Wanawake

JOWUTA : Waandishi Vitendeeni Haki Vyama Vyote

Kaguo Ataja Mbinu Mpya Ukwepaji Kodi Kwenye Mafuta

Wajumbe TSC watakiwa kutembelea ofisi ngazi ya wilaya

Mradi Wa Thamini Uzazi Salama Wakabidhiwa Vitendeakazi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Upotevu Wa Maji Kipimo Cha Utendaji Wa Wakurugenzi Wa Mamlaka Za Maji
Next Article Katibu Mkuu Mwajuma Atunukiwa Tuzo, Ahimiza Mshikamano Sekta ya Maji
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

IITA Yawekeza Bilioni 410 Tanzania Kuimarisha Kilimo, Utafiti
Habari May 9, 2026
Vyuo Vikuu Vyahitaji Mkakati Madhubuti wa Tafiti — Yanda
Habari May 8, 2026
Asilimia 26 Ya Wanawake Ndio Wanaoamini Kuwa Na Uhuru Wa Kufanya Maamuzi Ya Kufanya Shughuli Za Uchumi
Habari May 8, 2026
Kesi 100 Za Wananchi Zasikilizwa Na Kupatiwa Suluhu Katiba Na Sheria
Habari May 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?