MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kapinga Ahamasisha Wananchi Kushiriki Uchaguzi Serikali Ya Mtaa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kapinga Ahamasisha Wananchi Kushiriki Uchaguzi Serikali Ya Mtaa
Habari

Kapinga Ahamasisha Wananchi Kushiriki Uchaguzi Serikali Ya Mtaa

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

MBUNGE wa Vijana Mkoa wa Ruvuma  ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga anahamasisha wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma  waweze kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika keshokutwa  Novemba 27, 2024.

Akiwa  katika Kata ya Matiri wilayani Mbinga kwenye fainali za mpira wa miguu mashindano ya Mkuu Super Cup, Kapinga amehamasisha makundi mbalimbali ya wananchi kushiriki katika uchaguzi huo wa serikali za mitaa utakaofanyika nchi nzima.

” Ndugu zangu, wote tunafahamu kazi kubwa iliyopo mbele yetu ya kufanya maamuzi ya kuchagua viongozi makini watakaokuwa wasimamizi wa shughuli za maendeleo katika maeneo yetu, kama ambavyo mmejitokeza kwa wingi katika fainali hii,  nguvu hii pia tuielekeze keshokutwa Novemba 27,2024, siku ya kupiga kura.” Amesisitiza Kapinga

Kapinga ameendelea kuwakumbusha  wananchi  kuchagua Viongozi imara, makini na wenye uchungu na maendeleo katika maeneo yao huku akiweka mkazo kuwa viongozi hao wanatokana na Chama cha Mapinduzi (CCM).

Kuhusu fainali ya Mkuu Super Cup ilihusisha  timu ya Bodaboda FC na Afya FC ambapo Bodaboda FC iliibugiza timu ya Afya kwa goli tatu, huku Afya ikiambulia goli moja.

Timu zilizoshika nafasi ya kwanza hadi ya tatu katika michuano hiyo zimepata zawadi ikiwa ni njia ya kutoa motisha kwa vijana kujihusisha na michezo.

 

You Might Also Like

Tanzania Yaingia Saba Bora Duniani  Kwa Uzalishaji Wa Pamba Hai

Maandalizi Mei Mosi Yapamba Moto Singida

Rais Samia Awatega Wateule Wake

Wananchi Wahimizwe Ulipaji Kodi Kimtandao – Nyongo

Spika Tulia Aunguruma UDSM, Kongamano La Uhuru Wa Wana Taaluma Afrika.

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mwongozo wa Mafunzo Elekezi Kwa Walimu Wapya Kazini Mbioni Kukamilika
Next Article Dkt Biteko Ahimiza Watanzania Kupiga Kura Novemba 27,2024
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali Yaweka Mkazo Kufufua Viwanda Musoma Ili Kuongeza Ajira
Habari April 24, 2026
Program Ya Mama Samia Ya Kurasimisha Ujuzi Yazinduliwa
Habari April 23, 2026
TEA, Wizara ya Elimu Zanzibar Kushirikiana Kuimarisha Miradi ya Elimu
Habari April 23, 2026
Bajeti Yadhihirisha Uhakika Wa Nishati Nchini
Habari April 23, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?