MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kamati Ya Bunge Yaipongeza TVLA Uzalishaji wa chanjo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kamati Ya Bunge Yaipongeza TVLA Uzalishaji wa chanjo
Habari

Kamati Ya Bunge Yaipongeza TVLA Uzalishaji wa chanjo

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
PWANI: KAMATI ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, imeipongeza Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) kwa uzalishaji wa chanjo za mifugo ambazo zinatumika kuboresha afya za mifugo hapa nchini.
Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Deodatus Mwanyika kwa niaba ya kamati nzima iliipotembelea Taasisi ya Chanjo Tanzania (TVI) iliyopo Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Naye Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti amesema mipango ya Wizara ni kuendelea kuhamasisha pamoja na kutoa elimu kwa wafugaji kuhusu umuhimu wa kuchanja mifugo
Kwa upande Wake, Mtendaji Mkuu wa TVLA,  Dkt. Stella Bitanyi amesema kwa sasa wameanza kuwafikia wafugaji moja kwa moja kuwapa elimu ya umuhimu wa chanjo kwa mifugo yao.
Taasisi ya Chanjo Tanzania (TVI) ipo chini ya Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) ambapo jukumu lake kubwa ni kufanya tafiti na kuzalisha chanjo.

You Might Also Like

Wizara Ya Kilimo Yajipanga Vema Maonesho ya Kimataifa Ya Biashara

Tutuba: Noti Mpya Kuanza Kutumika Februari Mosi mwaka huu

July 10, 2025

Majaliwa awasili Kilimanjaro kufungua semina Mambo ya Ndani

Wadau Wa Kilimo Iondoeni Nchi Kwenye Uchuuzi Wa Mafuta Ya Kula-Chongolo

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kamati Ya Bunge Yaridhishwa Na Utaratibu Wa Manunuzi Ya Bando
Next Article RC Serukamba Aiunga Mkono REAUgawaji Wa Mitungi Ya Gesi Iringa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mfumo Wa Kidijitali Wa PSSSF Wamvutia Mkurugenzi Wa BOT
Habari August 5, 2026
FAO Yasisitiza Kutowapa Mifugo Dawa Bila Maelekezo Ya Watalaam
Habari August 5, 2026
Balozi Wa Kudumu Wa Mashirika Ya UN Atembelea FAO Nanenane
Habari August 5, 2026
Wadau Wamiminika Banda La REA Katika Maonesho Ya Nanenane  2026
Habari August 5, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?