MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Heshima ya Udaktari Ni Mwito wa Kulitumikia Taifa: Dkt Ikomba
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Heshima ya Udaktari Ni Mwito wa Kulitumikia Taifa: Dkt Ikomba
Habari

Heshima ya Udaktari Ni Mwito wa Kulitumikia Taifa: Dkt Ikomba

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
DAR ES SALAAM: “NINAMSHUKURU Mungu kwa neema katika nafasi hii aliyonipatia. Udaktari huu nilioupata unaonyesha kwamba ahadi za Mungu katika maandiko ni za milele, zinaendelea kuishi, zinafundisha utumishi wetu ukikubalika katika jamii, inakutambua hata kama huna fedha.”
Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Dkt. Suleiman Ikomba amesema maneno hayo baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu katika Utawala na Maendeleo ya Rasilimali Watu, na Chuo cha In His Name Bible College (IHNBC) cha nchini Marekani
Habari Picha 9392
Dkt. Ikomba amesema safari ya mwanadamu aijuaye ni Mungu peke yake, hivyo heshima aliyoipata imempa chachu ya kuendelea kulitumikia taifa na jamii ya Tanzania kwa nguvu na ari ya juu.
“Heshima hii inaniondoa katika aina nyingine yoyote ya ujinga-ujinga. Inanifanya kila jicho liniangalie. Tumaini langu ni kuwasaidia wengine kufikia matarajio yao,” amesema.
Habari Picha 9394
Amesema kwa nafasi yake ndani ya CWT, amepewa mzigo kwa lazima kusaidia taifa lake. Heshima ambayo inampa chachu ya kuendelea kuitumikia jamii ya Tanzania kwa nguvu, ikiwa ni pamoja na kutatua migogoro na kupooza mioyo ya watu iliyoumia, ili awe sababu ya kuwa faida kwao na kwa Chama cha Walimu.
“Sasa maana yake ni kuweza kuunganisha. Nimepewa mzigo kuhakikisha kwamba lazima nisaidie taifa langu nikiwaunganisha walimu katika mafanikio yao na katika hali ya kusimamia mambo mbalimbali wanayoyapata kwa hekima.” Amesema.
IHNBC kimemtunuku Ikomba kwa kutambua mchango wake mkubwa katika uongozi na maendeleo ya sekta ya elimu nchini.
Hafla hiyo ya mahafali ya pili ya chuo hicho imefanyika  Septemba 13, 2025 jijini Dar es Salaam, katika Kanisa la Baptist, Kinondoni B, ambapo jumla ya wahitimu 21 walitunukiwa vyeti vyao katika ngazi mbalimbali za kitaaluma.

You Might Also Like

Kamati Ya Bunge Yapongeza Usimikaji Mfumo Wa Kidijitali CMA

OUT yaunda Kamati ya Ufuatiliaji na Tathmini Mradi wa HEET

October 2, 2024

Aloe Dorotheae, Mmea Unaopatikana Tanzania Pekee

JOWUTA,IFJ na THRDC kutoa mafunzo ya kuripoti uchaguzi mkuu.

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Rais Wa CWT Suleiman Ikomba Sasa Ni Daktari
Next Article CHAUMMA Kuunda Mamlaka ya Mazao ya Kimkakati – Salum Mwalim
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

CHAUMMA Kuunda Mamlaka ya Mazao ya Kimkakati – Salum Mwalim
Habari September 14, 2025
Rais Wa CWT Suleiman Ikomba Sasa Ni Daktari
Habari September 13, 2025
Salum Mwalim: Nitarejesha Hadhi ya Kanda ya Ziwa na Kuinua Zao la Pamba
Habari September 12, 2025
TEA Yatathmini Utekelezaji na Kupanga Mwelekeo Mpya Kupitia Baraza la Wafanyakazi
Habari September 12, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?