Nenda moja kwa moja kwenye maudhui
November 7, 2026
Habari Lucy Ngowi 4

Ridhiwani, Waziri Wa Kazi, Ajira UAE Waweka mkakati

Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Ridhiwan Kikwete amefanya mazungumzo na Waziri anayeshughulikia masuala ya kazi na ajira wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Balozi AbdulrahmanAl Awar.
Ridhiwan amesema akiwa na Waziri huyo, wameweka  mikakati ya ukuzaji Kaz,  Ajira na utekelezaji wa Makubaliano hayo baina ya Tanzania na UAE.
Je, habari hii ilikusaidia?
Sambaza

Maoni 0

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Acha maoni

Barua pepe yako haitachapishwa. Sehemu zenye * ni lazima.