MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria Yasisitiza Uhifadhi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria Yasisitiza Uhifadhi
Habari

Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria Yasisitiza Uhifadhi

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
MWANZA: MHAIDROJIOLOJIA kutoka Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria (LVBWB), Jackline Jacob, amesema taasisi hiyo inaendelea kufanya tathmini ya wingi na ubora wa maji katika Bonde la Ziwa Victoria kwa lengo la kuhakikisha rasilimali hiyo inalindwa na kutumika kwa uendelevu.
Amesema pamoja na jukumu hilo, bodi hiyo pia inasimamia ugawaji wa maji kupitia utoaji wa vibali pamoja na kulinda na kuhifadhi vyanzo vya maji katika maeneo mbalimbali ya bonde hilo.
Jackline ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye maonesho ya Ziwa Victoria yanayoendelea jijini Mwanza.
Aidha, amewahimiza wananchi kuzingatia sheria za uhifadhi wa mazingira kwa kuepuka kufanya shughuli za kibinadamu ndani ya mita 60 kutoka kwenye vyanzo vya maji.
Amefafanua kuwa vyanzo vya maji vinavyopaswa kulindwa ni pamoja na mito, vijito na Ziwa Victoria, ambavyo vina mchango mkubwa katika maisha ya wananchi na shughuli za kiuchumi.

You Might Also Like

Mkakati Wa Utekelezaji Wa Sera Ya Malikale Lango La Fursa Za Utalii

Ofisi Ya Mwandishi Mkuu Wa Sheria Yakamilisha Rasimu Ya Sheria 446 Kwa Lugha Ya Kiswahili

Ruto: Uwekezaji wa NSSF Nairobi ni mfano bora wa matumizi ya akiba

UDSM Yabuni Teknolojia Mpya ya Kuhesabu Samaki Kwa Haraka 

Majaliwa Afurahishwa Na Ustadi Wa Vijana Wenye Ulemavu Veta

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Tunashauri Ufugaji wa Samaki Kwenye Vizimba, Mavuno ni Mengi – TAFIRI
Next Article TPHPA Yaendelea Kutoa Elimu YA Matumizi Salama Ya Viuatilifu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Uwekezaji wa Vijana Watajwa Chachu ya Ukuaji wa Uchumi
Habari June 29, 2026
Tanzania Yaendelea Kuimarisha Usalama Na Ulinzi Wa Taarifa Binafsi
Habari June 29, 2026
WCF Yapigia Debe Ushirikiano na Teknolojia Kuimarisha Hifadhi ya Jamii
Habari June 28, 2026
Sabasaba 2026 Kuingiza Teknolojia Mpya na Fursa za Uwekezaji
Habari June 27, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?