MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Biashara kidijitali inawezekana soko huru la Afrika
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Biashara kidijitali inawezekana soko huru la Afrika
Habari

Biashara kidijitali inawezekana soko huru la Afrika

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu
TAASISI ya Sekta Binafsi nchini (TPSF) imesema licha ya kuwepo kwa fursa mbalimbali za  biashara katika soko huru la Afrika (AfCFTA) Bado zipo changamoto zinazotakiwa kufanyiwa kazi Ili zisizuie   biashara  kwa njia ya mtandao.
Mkurugenzi wa Bodi ya  TPSF Mercy Silla amesema hayo Dar es Salaam wakati akifungua mafunzo kwa wanawake na vijana namna wanavyoweza kutangaza biashara zao  kwa njia ya kidijitali kupitia soko hilo  na kufanya biashara Kimataifa.
Mafunzo hayo ya siku mbili yanaratibiwa na Baraza la Biashara la Afrika Mashariki (EABC) Kwa udhamini wa SHIRIKA la Misaada la Kijerumani ( GIZ).
Akizungumza,Silla amezitaja  changamoto hizo kuwa ni pamoja na  sarafu tofauti ya kila nchi,Kila nchi kuwa na taratibu zake lakini pia kuwepo kwa  taarifa mbalimbali za bidhaa kutopokelewa ipasavyo.
Amesema changamoto nyingine ni kuwa na kiwango kidogo cha uelewa kuhusu soko hilo, gharama za bidhaa kukinzana hususani katika biashara ya kidigitali na pia suala zima la hofu kwa matumizi ya Teknolojia ya digitali kuhusu suala zima la usalama.
Amesema kuna haja ya mifumo kusomana na makundi hayo ya vijana na wanawake kuhakikisha wanajifunza Kwa kinachoendelea Ili Kutumia fursa za soko hilo.
Kwa upande wake Meneja wa Sera wa Biashara na Huduma kutoka EABC Geoffrey Kamanzi,  akimwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa EABC, amesema Mpango wa Biashara wa AfCFTA tayari umeanza kufanya kazi na kuitaka sekta binafsi ya  Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuendelea kufahamisha jinsi ya kufanya biashara chini ya utaratibu wa AfCFTA.
 Amesema  EABC itaanzisha warsha kama hizo katika nchi nyingine za EAC ili kuimarisha namna ya  kutumia mfumo wa kidijitali na kuimarisha utayari wa wafanyabiashara wadogo na WA kati (SMEs )kufanya biashara chini ya AfCFTA.
Amesema Changamoto kama vile mifumo duni ya udhibiti, sarafu tofauti za kitaifa, huduma duni za wasafiri, uelewa mdogo, mkinzano wa gharama, masuala ya usalama na hofu ya ICT huzuia biashara kupitia biashara ya mtandaoni.

You Might Also Like

PIC Uwekezaji Bidhaa Za Ngozi Utaongeza Mapato

Msigwa Azikumbusha Taassisi Za Serikali, TANROAD Ikielezea Mafanikio Yake

Rais Samia aipongeza TPHPA, kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi, Watendaji

Jeshi la Uhifadhi watakiwa kuzingatia mafunzo – Wakulyamba

Bodi Ya Wadhamini Ya NSSF Yaridhishwa Na Uwekezaji Wa Ubia Na Jeshi La Magereza

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Vyuo vya Kilimo vishirikishwe mradi wa BBT
Next Article Kongamano la Kahawa Bora Afrika kufanyika Tanzania Februari mwakani
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Majaliwa Aituza UDSM kwa Kuongoza Eneo La Elimu, Utafiti, Ubunifu Sabasaba 2025
Habari July 14, 2025
Nyanya Cheri na Ngogwe Chungu Zarejea 
Habari July 13, 2025
NFRA Yawaalika Wadau Kununua Nafaka kwa Masoko ya Ndani na Nje
Habari July 13, 2025
Kafulila: Ushirikiano wa Sekta Binafsi na Umma Kuboresha Huduma
Habari July 13, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?