MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Rais Wa CWT Suleiman Ikomba Sasa Ni Daktari
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Rais Wa CWT Suleiman Ikomba Sasa Ni Daktari
Habari

Rais Wa CWT Suleiman Ikomba Sasa Ni Daktari

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
IHNBC Yamtunuku Shahada ya Heshima ya Uzamivu
Na Lucy Ngowi
DAR ES SALAAM: CHUO cha In His Name Bible College (IHNBC) cha nchini Marekani kimemtunuku Shahada ya Heshima ya Uzamivu katika Utawala na Maendeleo ya Rasilimali Watu, Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Suleiman Ikomba.
Habari Picha 9380
IHNBC kimemtunuku Ikomba kwa kutambua mchango wake mkubwa katika uongozi na maendeleo ya sekta ya elimu nchini.
Hafla hiyo ya mahafali ya pili ya chuo hicho imefanyika leo Septemba 13, 2025 jijini Dar es Salaam, katika Kanisa la Baptist, Kinondoni B, ambapo jumla ya wahitimu 21 walitunukiwa vyeti vyao katika ngazi mbalimbali za kitaaluma.
Habari Picha 9382
Miongoni mwa wahitimu hao, watatu walipata Diploma ya Theolojia, watano walitunukiwa Shahada ya Kwanza, 12 walipokea Shahada za Uzamivu za Heshima, huku mmoja akitunukiwa cheo cha Uprofesa wa Heshima.
Habari Picha 9383
IHNBC ni taasisi ya kimataifa ya mafunzo ya Biblia na maendeleo ya uongozi, yenye makao makuu yake nchini Marekani, na inatoa mafunzo na tuzo mbalimbali za heshima kwa watu wanaojitolea katika kuboresha maisha ya jamii kupitia huduma ya kiroho, elimu na uongozi.
Habari Picha 9384
Habari Picha 9385
Habari Picha 9386

You Might Also Like

Mashimba: Tumieni Siku Zilizobaki Kujiandikisha

Mkuu wa Mkoa akabidhi matrekta kwa wakulima kutoka Pass Leasing

Madini Yaweka Rekodi Makusanyo Ya Maduhuli

Kuelekea Uchaguzi Mkuu, Wanaotumika Vibaya Waonywe

UVCCM Yazindua Kampeni Ya Kutetea Ukweli, kutokomesha Upotoshaji, Uongo

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Salum Mwalim: Nitarejesha Hadhi ya Kanda ya Ziwa na Kuinua Zao la Pamba
Next Article Heshima ya Udaktari Ni Mwito wa Kulitumikia Taifa: Dkt Ikomba
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Twendeni Tukapige Kura Ya Ukombozi, CHAUMMA Yahitimisha Kampeni
Habari October 28, 2025
Elimu Ya Nishati Safi Ya Kupikia Yawafikia Maofisa Dawati Ngazi Ya Mikoa Na Halmashauri
Habari October 27, 2025
Wananchi wahamasishwa kuandika historia mpya kupitia kura
Habari October 25, 2025
Shibuda: WanaMaswa jitokezeni kupiga kura bila woga
Habari October 25, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?