MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tanzania Na Namibia Kuongeza Juhudi Kukuza Ushirikiano Wa Kiuchumi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tanzania Na Namibia Kuongeza Juhudi Kukuza Ushirikiano Wa Kiuchumi
Habari

Tanzania Na Namibia Kuongeza Juhudi Kukuza Ushirikiano Wa Kiuchumi

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu

RAIS  Dkt  Samia Suluhu Hassan amesema  Tanzania na Namibia zimekubaliana kuongeza juhudi za kukuza ushirikiano wa kiuchumi kwa kutafuta njia madhubuti za kukuza biashara baina yao, ikiwa ni Pamoja na kuwezesha uwepo wa miradi mikubwa ya uwekezaji kutoka pande zote mbili

Wakizungumza na vyombo vya habari akiwa na Rais wa Namibia Dk Netumbo Nandi-Ndaitwa mara baada ya mazungumzo rasmi, Rais Samia amesisitiza umuhimu wa sekta binafsi katika kuchochea ajira kwa vijana na kupunguza umaskini.

Aidha marais hao wameeleza dhamira ya kupanua ushirikiano katika maeneo ya elimu, utalii, mazingira, mifugo, uvuvi na nishati na kuweka msisitizo kwa sekta binafsi kuwekeza kwa kiwango kikubwa tofauti na hali ilivyo sasa.

Rais Samia amebainisha kuwa biashara kati ya Tanzania an Namibia imeongezeka kutoka sh bilioni 17 hadi bilioni 20 kati yam waka 2019 na 2023 hata hivyo amesema kiwango hicho bado ni kidogo kulinganisha na fursa zilizopo na kuwataka wafanyabiashara wan chi hizo mbili kuchangamkia fursa hizo.

Kadhalika ameikaribisha sekta binafsi ya Namibia kuja kuwekeza na kushirikiana na Tanzania katika sekta za uongezaji thamani wa mifugo,uvuvi na katika  sekya utalii

Katika eneo la utamaduni Rais Samia ameeleza kuwa Tanzania na Namibia zinatarajia kushirikiana katika sekta ya elimu, ambapo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kitashirikiana na Chuo cha Triumphant cha Namibia kufundisha lugha ya Kiswali kama nia ya kukuza uhusiano, urafiki na mshikamano kijamii.

You Might Also Like

Rais Wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Mgeni Rasmi Mkutano Wa THRAPA

Ufaulu Umeongezeka Kwenye Natokeo Kidato Cha Nne

Kamati Ya Bunge Yakagua Mradi Wa Nyumba NSSF

NHIF Kuingia Makubaliano Na Mawakala Usajili Wa Wananchi

Tanzania kujiimarisha zaidi kidiplomasia – Majaliwa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wafugaji huchakachua maziwa kwa kuongeza mafuta, maji, magadi au mkojo wa ng’ombe
Next Article UVCCM Yazindua Kampeni Ya Kutetea Ukweli, kutokomesha Upotoshaji, Uongo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

JAB Yatoa Mwezi Moja Kuthibitishwa, kupewa vitabulisho
Habari May 22, 2025
Hali Ya Ulinzi Na Usalama Wa Mipaka Ni Salama
Habari May 22, 2025
Ulega Ataka Ushirikiano Miradi Ya Kimkakati Ikamilike Kwa Wakati
Habari May 22, 2025
Aloe Dorotheae, Mmea Unaopatikana Tanzania Pekee
Habari May 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?