MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mipango Zaidi Msiba Wa Cleopa Msuya Kutolewa Na Serikali
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mipango Zaidi Msiba Wa Cleopa Msuya Kutolewa Na Serikali
Habari

Mipango Zaidi Msiba Wa Cleopa Msuya Kutolewa Na Serikali

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu David Cleopa Msuya kilichotokea leo Mei saba,  2025.
Aidha amesema taarifa zaidi ya Mipango kamili ya msiba itaendelea kutolewa na Serikali.
Samia amesema Msuya amefariki katika Hospitali ya Mzena mkoani Dar es Salaam alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa moyo.
Kutokana na msiba huo, Rais Samia ametangaza siku saba za maombolezo ambapo bendera zitapepea nusu mlingoti kuanzia leo Mei saba hadi 13, 2025.
Rais Samia anawapa pole ndugu, jamaa na watanzania wote kwa msiba huu.

You Might Also Like

Rasmi Leo DSM Kuanza Biashara Saa 24

Makala: Hakuna Kupita Bila Kupingwa

JKCI Imeona Wagonjwa Zaidi ya Laki Saba Kwa Miaka Minne

Dkt. Ndumbaro : Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Imefanikiwa 

Salum Mwalim: Hakuna Mtu, Taasisi Inayoweza Kuzuia Uchaguzi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Serikali Kukarabati Vituo Vyote Vya Kutolea Huduma Za Afya Kongwe
Next Article Mwanafunzi UDSM Aja Na Nyama Ya Mimea
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mgodi Wa Dhahabu Wa Nyanzaga Kunufaisha Wananchi, Ujenzi Wazidi Kupaa
Habari September 23, 2025
Sekta Ya Madini Yazidi Kuchangia Ukuaji Wa Uchumi – Majaliwa
Habari September 23, 2025
Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?