MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Serikali Kukarabati Vituo Vyote Vya Kutolea Huduma Za Afya Kongwe
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Serikali Kukarabati Vituo Vyote Vya Kutolea Huduma Za Afya Kongwe
Habari

Serikali Kukarabati Vituo Vyote Vya Kutolea Huduma Za Afya Kongwe

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

SERIKALI  kupitia Ofisi ya Rais – TAMISEMI imesema itaendelea kukarabati hospitali zote Kongwe kupitia mpango mkakati wa ukarabati, na upanuzi wa hospitali kongwe za halmashauri ,vituo vya afya Pamoja na zahanati ili kuboresha miundombinu ya huduma za afya kote nchini.

 

Hayo yamesemwa leo Mei 07, 2025 bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI  Dkt. Festo Dugange  wakati akijibu swali la nyongeza la  Shally Raymond, mbunge wa viti maalum mkoa wa Kilimanjaro kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -TAMISEMI. Mohamed Mchengerwa.

 

Mbunge huyo, alitaka kujua ni lini serikali itaipa kipaumbele cha ukarabati wa miundombinu zahanati ya Rononi iliyoko Uru Kaskazini mkoani humo.

 

Katika majibu yake Naibu Waziri Dkt. Dugange amesema tayari serikali imeweka mpango mkakati wa ukarabati na upanuzi wa vituo vyote kongwe vya kutolea huduma za afya, ambapo tayari ukarabati na upanuzi umeanza katika ngazi ya hospitali Kongwe za Halmashauri, na baada ya hospitali za halmashauri, vitafuata vituo vya afya na zahanati zote Kongwe ambazo zinahitaji ukarabati.

 

Dkt. Dugange amewaelekeza wakurugenzi kwa  halmashauri zenye vituo vya kutolea huduma za afya vinavyokabiliwa na uhaba wa vifaa pamoja na changamoto ndogondogo kama vile samani kutumia fedha za mapato ya ndani ili  kumaliza changamoto hizo haraka iwezekanavyo

You Might Also Like

TRAWU Kupambania Mkataba Wa Hali Bora Kwa Wafanyakazi

Maofisa Tarafa na Watendaji wa Kata Waaswa kuwa wabunifu

Mradi wa Maadili Katika Utafiti Wa Binadamu Na Huduma Za Afya Wafanywa UDSM kwa Ushirikiano wa Kimataifa

Serikali Inaboresha Miundombinu Ya Umeme Kibiti Kuondoa Changamoto Za Umeme – Kapinga

Samia Mgeni Rasmi Mkutano Mkuu ALAT

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mnyororo wa Biashara Kariakoo Unafanywa Na Wageni
Next Article Mipango Zaidi Msiba Wa Cleopa Msuya Kutolewa Na Serikali
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Majaliwa Aituza UDSM kwa Kuongoza Eneo La Elimu, Utafiti, Ubunifu Sabasaba 2025
Habari July 14, 2025
Nyanya Cheri na Ngogwe Chungu Zarejea 
Habari July 13, 2025
NFRA Yawaalika Wadau Kununua Nafaka kwa Masoko ya Ndani na Nje
Habari July 13, 2025
Kafulila: Ushirikiano wa Sekta Binafsi na Umma Kuboresha Huduma
Habari July 13, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?