MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Profesa Kabudi Amimina Pongezi TEA
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Uncategorized > Profesa Kabudi Amimina Pongezi TEA
Uncategorized

Profesa Kabudi Amimina Pongezi TEA

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM:WAZIRI wa Habari,Sanaa, Utamaduni na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi ameshauri watanzania kutoogopa kufanya ujasiriamali wa Kilimo kwa kuwa utawanufaisha.

Palamagamba ameshauri hayo leo Aprili 30, 2025  alipotembelea Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), wakati wa kufunga maonyesho ya kitaifa ya kazi za utamaduni na Sanaa yanayomaliza kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Katika banda hilo la TEA, Profesa Kabudi amempongeza mjasiriamali Esther Shebe aliyenufaika na mafunzo ya kuendeleza ujuzi kupitia Mfuko wa mafunzo ya kuendeleza ujuzi kupitia Mfuko wa Kuendeleza Ujuzi (SDF) wa Mamlaka hiyo kwa kumudu kutengeneza bidhaa mbalimbali zinazotokana na Uyoga.

“Nimefurahi sana kuona namna ulivyoweza kutengeneza bidhaa nyingi kwa kutumia uyoga nahamasisha na wengine wafanye kama wewe wajiajiri badala ya kutegemea kuajiriwa namimi naahidi nitakuwa mteja wako,” amesema kabudi

Shebe anayemiliki kampuni ya Goba Mushroom Zone, alimweleza Waziri kuwa kupitia kilimo cha uyoga amepata mafanikio makubwa ikiwemo kupata tuzo ya  kuwa malkia wa nguvu na mkulimo bora wa mwaka 2021.

Amesema alikuwa mkulima kwa miaka mingi lakini mwaka 2022 alikwenda kuongeza ujuzi kupitia Mamlaka ya Kuwendeleza Viwanda Vidogo Vidogo (SIDO) kupitia mfuko wa SDF ambayo yamemwezesha kutengeneza bidhaa mbalimbali.

“Natengeneza bidhaa mbalimbali kutokana na uyoga, nina maabara yangu ambayo naitumia kutengeneza mbegu za uyoga ambazo nauza na zingine nazipanda kwenye shamba langu mwenyewe,” amesema

Amesema mwaka 2023 alipata cheti cha mkulima bora Mkoa wa Dar es Salaam Kanda ya Mashariki na mwaka 2024 alipata tuzo ya kampuni bora ya kilimo  na aliishukuru TEA kwa namna ilivyomwezesha kupata mafunzo ambayo yamempa mafanikio makubwa.

“Niliwahi kwenda China kwa mafunzo ya muda mfupi kuongeza ujuzi kupitia chuo cha Sokoine cha Morogoro. Watu wasiogope kilimo kinalipa kwasababu mimi nilikuwa nimeajiriwa Napata mshahara ambao ulikuwa hautoshi lakini kipato changu kwa sasa kinatosheleza mahitaji yangu,” amesema

 

You Might Also Like

Wasira akipongeza Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere  kwa kuenzi Falsafa za Baba wa Taifa

Dkt.Mpango ataka Afrika kuunganisha nguvu uendelezaji wa Jotoardhi

Samia Kalamu Award yasogeza Mbele

GWSON yawakumbuka watoto wenye vichwa vikubwa,mgongo wazi kumbukizi ya Mwl.Nyerere

Kapinga : Bei ya umeme Tanzania ni nafuu kuliko nchi nyingine Afrika Mashariki

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wafanyakazi wa Majumbani Wajengewa Uwezo 
Next Article TEA Mshindi wa Kwanza Maonyesho Ya Mfuko wa Utamaduni
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha
Habari September 22, 2025
Waziri Mkuu Apongeza Huduma Kidijitali za NSSF, Maonesho Ya Madini Geita
Habari September 22, 2025
Mkuu Wa Mkoa Shinyanga Asifu Kazi Ya Bodi Bima Ya Amana
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?