MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kabudi Aelezea Mafanikio Ya Wizara Yake
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kabudi Aelezea Mafanikio Ya Wizara Yake
Habari

Kabudi Aelezea Mafanikio Ya Wizara Yake

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read

Na Danson Kaijage

WIZARA Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo imeeleza mafanikio lukuki katika wizara hiyo kwa kipindi cha miaka minn ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassani kwa sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya michezo.

Palamagamba Kabudi akiwa anazungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa habari -Maelezo Jijini Dodoma amesema mafanikio hayo kwa kipindi cha miaka minne hayajawahi kutokea tangu kupata uhuru.

Ameyataja  mafanikio mengine ni pamoja na Tanzania kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027).

Mafanikio mengine ni kufuzu kwa Timu za Taifa kwenye mashindano ya Kimataifa, ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya michezo kwa ajili ya Mashindano ya AFCON 2027 kwa gharama ya Sh. Bilioni 161.977.

Amesema  hatua ya kuanzishwa kwa Mfuko wa Maendeleo ya Michezo (BMT), Kuandaa Matamasha matatu ya Kitaifa ya Utamaduni, Mafanikio ya Siku ya Maadhimisho ya Kiswahili, Kufungua Fursa za Lugha ya Kiswahili duniani kote na kufungua Vituo vya Kufundisha Kiswahili Nje ya Nchi ni mafanikio makubwa.

Pia amezungumzia utoaji wa Mikopo kwa wadau wa Sanaa na Utamaduni, Ugawaji wa Mirabaha kwa Wasanii, Uhuishaji na Uendelezaji wa Tamasha la Serengeti Music Festival, Uanzishwaji wa Tuzo za Kitaifa za Ucheshi na Uendelezaji wa Tamasha la Tuzo za Filamu nchini.

“Wizara imefanikiwa Kuimarisha Ukusanyaji Mapato ya kazi za Sanaa, Kuanzisha Mradi mkubwa wa Ujenzi wa Sports and Arts Arena, Mradi wa Jumba Changamani la Filamu na kuanzisha Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari nchini,”amesema kabudi.

You Might Also Like

Mkenda: Tunahitaji Ushirikiano Baina Ya Viwanda Na Wazalishaji

Kituo Cha Umahiri Cha Upandikizaji Figo, Mafunzo, Kujengwa Hospitali Ya Benjamin Mkapa

Madaktari Bingwa, Wauguzi Wabobevu Wa Mama Samia Watoa Mafunzo Ya Huduma Kwa Mama Na Mtoto, Hospitali Ya Wilaya Ya Singida

REA Yapamba Maonesho Ya Kitaifa Ya Teknolojia Ya Madini Geita

Serikali yatambua deni la Kiwira Coal Mine Bill.1.52

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Serikali Kumuenzi Mzee Morris, Ngoma Zake 10
Next Article COSTECH, CRDB Foundation Yazindua Mikopo Nafuu Kwa Wabunifu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?