Nenda moja kwa moja kwenye maudhui
November 7, 2026
Habari Lucy Ngowi 5

Waziri Ridhiwani: Vyama Vya Wafanyakazi, Nguzo Ya Mahusiano Mema Mahali Pa Kazi

Waziri Ridhiwani: Vyama Vya Wafanyakazi, Nguzo Ya Mahusiano Mema Mahali Pa Kazi
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu idhiwani Kikwete wakati akiwahutubia Wanachama wa Chama cha Wafanyakazi wa  Reli na wanaohusiana na shughuli za Reli (RAWUTA) leo Machi 20  2025 mjini Dodoma.
Ridhiwani amewaasa kuwa nguzo muhimu katika kujenga mahusiano yenye tija mahali pa kazi, vinavyotetea masuala yote yanayogusa maslahi na haki zao za msingi.
Je, habari hii ilikusaidia?
Sambaza

Maoni 0

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Acha maoni

Barua pepe yako haitachapishwa. Sehemu zenye * ni lazima.