Na Mwandishi Wetu
RAIS Samia Suluhu Hassan amewasili Addis Ababa Ethiopia kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).
Pia Rais Samia atashiriki mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika.