MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Samia Mgeni Rasmi Mkutano Mkuu ALAT
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Samia Mgeni Rasmi Mkutano Mkuu ALAT
Habari

Samia Mgeni Rasmi Mkutano Mkuu ALAT

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano Mkuu wa 39 wa mwaka wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania ( ALAT), utakaofanyika Aprili 17 hadi 21., mwaka huu 2025 jijini Mwanza.
Katibu Mkuu wa ALAT Taifa,
Mohammed Maje amesema hayo wakati wa kikao kazi kilichohusisha makatibu wa mikoa wote ambapo lengo likiwa ni kuweka mikakati kufanikisha mkutano huo.
Amesema ili kufanikisha mkutano huo, mshikamano ndani ya Jumuiya hiyo ni muhimu kwa kuwa hakuna taasisi ambayo inaweza kuendelea bila kuwa na umoja.
Amesema pamoja na kuweka mikakati ya kufanikisha mkutano huo,  pia kikao kilichofanyika kililenga kuimarisha mahusiano ya kiutendaji na matawi yake ya mikoa, wilaya pamoja na Kata.

You Might Also Like

Nzega Kujenga Barabara za Lami, Soko la Kisasa ili Kukuza Uchumi

Rais Samia akisikiliza jambo

Kijiji Cha Nzinga Kibaoni Kilwa Chapata Umeme

Ridhiwani Aongoza Waliojiajiri Kujiunga, Kuweka Akiba NSSF

Tanzania, Ufini Kushirikiana Teknolojia Za Kisasa Sekta ya Misitu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article India Kuwekeza Katika Sekta Ya Nishati Nchini
Next Article Elimu Ya Fedha Yafika Makanya Same
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

FCC Yatoa Elimu Ya Ushindani Wa Kibiashara Katika Maonesho Ya  Biashara
Habari July 5, 2025
Watanzania Watakiwa Kuachana Na Dhana Potofu Kuwa Nishati Safi Ya Kupikia Ni Gharama
Habari July 5, 2025
Wananchi Waelimishwe Kuhusu Utendaji wa Kamati za Maadili za Maofisa wa Mahakama
Habari July 5, 2025
UDOM Yatafiti Dawa za Malaria, Vidonda vya Tumbo, Kisukari Kutoka Mimea ya Asili
Habari July 5, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?