MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Takukuru Kinondoni Yapokea Malalamiko 46 Kuhusu Rushwa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Takukuru Kinondoni Yapokea Malalamiko 46 Kuhusu Rushwa
Habari

Takukuru Kinondoni Yapokea Malalamiko 46 Kuhusu Rushwa

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Lyatuu

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kinondoni, Dar es Salaam imepokea malalamiko 85 ambapo malalamiko 46 yalihusu rushwa an 35 hayakuhusu rushwa.

Mkuu wa TAKUKURU, Kinondoni, Christian Nyakizee amesema hayo jana Dar es salaam  wakati akitoa taarifa kuhusu utendaji wa taasisi hiyo kwa kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2024.

Amesem kwa malalamiko ambayo hayakuhusu rushwa, walalamikaji wameshauriwa na majalada kufungwa na wengine wameelekezwa sehemu sahihi ya kupeleka malalamiko yao.

Amesema kwa malalamiko yanayohusu rushwa majalada yanaendelea kushughulikiwa  nay apo katika hatua mbalimbali.

Aidha Nyakizee amesema taasisi hiyo hufanya mifumo mbalimbali ili kubaini mianya ya rushwa katika maeneo ya kiutendaji ya ofisi,taasisi au idara na kudhibiti.

Amesema katika kipindi hicho wamefanya uchambuzi wa mifumo ya uondoshaji taka ngumu ngazi ya kaya na maeneo ya biashara katika Manispaa ya Kinondoni.

Ameitaja mifumo iliyofanyiwa uchambuzi kuwa ni usimamizi na ukusanyaji  mapato kwa njia ya kielektroniki (POS)  katika manispaa ya Ubungo.

Amesema eneo lingine ni uwasilishaji wa michango mifuko ya hifadhi ya jamii katika Manispaa ya Ubungo na usomaji mita na Ankara za  maji kutoka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA)  kwa wilaya ya Ubungo.

 

 

You Might Also Like

Ripoti Ya Bodadoda Yazinduliwa

Njaa, Mafao Ya Wakulima Vyatikisa Kampeni Za Ubunge Dodoma Mjini

Rais Samia Ameweka Alama Kwa Watumishi Wa Magereza Arusha,Awagawia Mitungi 528

Udongo wa kupandia mboga mboga unapatikana VETA

Toleo La Sheria Zilizotafsiriwa Kwa Kiswahili Kutoka Agosti

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Polisi Kufuatilia Wanaochuja Mafuta Na Mifuko Kwenye Malori
Next Article Silaa Atembelea Banda La NEMC, Wiki Ya Anwani Za Makazi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mbegu Bora za Miwa Zenye Tija ya Tani 200 kwa Hekta Zaendelea Kuwanufaisha Wakulima
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Mpunga Zazalishwa TARI Dakawa, Ifakara
Habari August 7, 2025
Mtego wa Inzi Wa Matunda Suluhisho Salama kwa Wakulima
Habari August 7, 2025
Mafua, Kifua Yadaiwa Kusababisha Kifo cha Job Ndugai
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?