MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TRAWU Yapigania Wafanyakazi TAZARA Nyongeza Ya Mshahara
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TRAWU Yapigania Wafanyakazi TAZARA Nyongeza Ya Mshahara
Habari

TRAWU Yapigania Wafanyakazi TAZARA Nyongeza Ya Mshahara

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DAR ES SALAAM: CHAMA cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU), kinajivunia kwa wafanyakazi wa Reli ya Tanzania na Zambia ( TAZARA), kuweza  kupata nyongeza ya mshahara tokea Julai mwaka hu, 2024.
Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Eddo Makata amesema hayo alipozungumza na Mwandishi wa Mfanyakazi Tanzania kuhusu mafanikio yaliyopatikana kwa mwaka huu 2024 katika chama hicho.
Amesema, ” Pia upande wa TAZARA tumekuwa na suala zima la kuweza kulilia nyongeza ya mshahara ambayo mfanyakazi wa TAZARA anaipata kwa sababu analipwa kwa dola.
” Kwa hiyo mwezi wa saba mwaka huu wafanyakazi wa TAZARA waliweza kupata nyongeza ambayo iliongeza kima cha chini na kila mfanyakazi aliweza kupata ile nyongeza.
“Kwa hiyo ni jambo tunajivunia kwa sababu tulipigania nyongeza ya mshahara ambayo inatokana na ‘exchange rate’  kwamba mfanyakazi wa TAZARA analipwa kwa dola na katika kulipwa huko kwa dola basi nyongeza yake inapatikana kwa makubaliano yale tuliyokubaliana.
” Na kwamba ikifika asilimia 20 ya dola kupanda  basi mfanyakazi huyu tutajadiliana namna ambayo anaweza akapandishwa mshahara wake kwa kutumia hiyo exchange rate,” amesema.
Amesema hayo yamefanyika kwa ushirikiano wa TRAWU na Chama cha Wafanyakazi Zambia.

You Might Also Like

Biashara kidijitali inawezekana soko huru la Afrika

Serikali  Kuja Na Mradi  Wa Kuimarisha Upatikanaji Umeme Vitongojini- Kapinga 

Muhimbili yarejesha tabasamu kwa Karume baada ya miaka 25 ya mateso

JOWUTA Yawasilisha Ripoti ya Ukaguzi kwa Msajili

Sirro: Kasulu Itambue Thamani ya Uwekezaji, Itenge Maeneo Rasmi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TRAWU Kupambania Mkataba Wa Hali Bora Kwa Wafanyakazi
Next Article Vyama Vya Wafanyakazi Kujadili Hatma Ya Wafanyakazi TAZARA
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vita Mashariki ya Kati Vyatikisa Uchumi wa SADC, Mawaziri Watakiwa Kuchukua Hatua
Habari March 12, 2026
Mamlaka Za Mitaa Ondoeni Urasimu Katika Kuanzisha Biashara Mpya-Waziri Mkuu
Habari March 12, 2026
Ofisi Ya Taifa Ya Takwimu  Kufanya Tafiti Kwa Wakala Wa Huduma Za Fedha,Viwandani
Habari March 12, 2026
GCLA  Yanunua Mitambo Mikubwa Inayogharimu Sh Bil 32.25 Kuimarisha Uchunguzi Wa Sampuli
Habari March 12, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?