MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Nguvu Zaidi Iongezwe Kwenye Tafiti Zinazogusa Maisha Ya Jamii
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Nguvu Zaidi Iongezwe Kwenye Tafiti Zinazogusa Maisha Ya Jamii
Habari

Nguvu Zaidi Iongezwe Kwenye Tafiti Zinazogusa Maisha Ya Jamii

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema ni lazima jitihada za kuwekeza katika Sayansi, Teknolojia na Ubunifu ziongezwe ili mwaka ujao Kongamano  la sayansi liwe kubwa zaidi.
Profesa Mkenda amesema hayo wakati wa kufunga Kongamano la Tisa la Sayansi, Teknolojia na ubunifu, lililomalizika mkoani Dar es Salaam.
“Hili kongamano lazima tuendelee kuli ‘Support’ na liwe kubwa zaidi, na kwa maana hiyo lazima tuongeze jitihada za kuwekeza katika sayansi na teknolojia.
 
“Na kwa maana hiyo lazima tuhakikishe kwamba vijana wanaposoma sayansi itawasaidia, tunafanya upendeleo katika utoaji wa mikopo kwenye nasomo ya sayansi hatutakiwi tuchoke.
” Inatulazimu tusomeshe watu wengi zaidi nje katika maeneo ya sayansi,” amesema.
Katika hatua nyingine amesema serikali inaziangalia bunifu kwa karibu kuhakikisha zinasonga mbele kwa kuingia sokoni, tofauti na hapo haitasaidia.
” Hatuwezi kuona wana saayansi kama wanakaa katika mlingoti wa pembe za ndovu, kwamba wanafanya. Vitu ambavyo havitumiki kwa watu.
” Kwamba wasomi wanajifungia wanafanya mambo, wanapandishana vyeo kwa kufanya vitu vizuri lakini hawagusi maisha, ” amesema.
Amesema walichokiona katika kongamano hilo la tisa la sayansi ni mchango mkubwa kutoka kwa wanasayansi.

You Might Also Like

Mrithi wa Kinana Kupatikana Mkutano Mkuu wa CCM

Wadau wa Kisekta watakiwa kukabiliana na athari za mvua msimu 2024/25

Serikali Inatoa Kipaumbele Kufikisha Umeme Taasis Zinazotoa Huduma Kwa Jamii- Kapinga

VETA: Miaka 30 ya Kuinua Ujuzi na Kuunda Wataalamu wa Kesho

Mgombea Urais CHAUMMA Ahaidi Soko La Kisasa Feri

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Majaliwa Awaagiza Wahandisi Kuzingatia Miiko, Maadili  Ya Taaluma Yao
Next Article Wanaodaiwa Kumuua Ofisa TRA Washikiliwa na Polisi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?