MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Rais Samia Aungwe Mkono Ajenda Ya Nishati Safi Ya Kupikia-Makongoro Nyerere
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Rais Samia Aungwe Mkono Ajenda Ya Nishati Safi Ya Kupikia-Makongoro Nyerere
Habari

Rais Samia Aungwe Mkono Ajenda Ya Nishati Safi Ya Kupikia-Makongoro Nyerere

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

MKUU  wa Mkoa wa Rukwa,  Makongoro Nyerere amewataka Watanzania kuendelea kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika kuhamasisha na kuchochea ajenda ya nishati safi ya kupikia nchini.

Hayo yamebainishwa na Makongoro  mara baada ya uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji wa miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini ( REA) iliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala,  Advera Mwijage.

Amesema, Rais Samia anaendelea kuipeleka ajenda ya nishati safi kimataifa ili kuhakikisha watu wanapika katika mazingira salama kiafya na kimazingira.

Nyerere ameongeza kuwa, suala la Nishati Safi ya Kupikia sasa ni ajenda ya kimataifa na wataibeba katika kuelimisha umma kuhusu matumizi salama ya nishati hiyo kwa upana.

Kwa upande wake,  Mwijage amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha kuwa kila Mtanzania anapika katika mazingira salama na kwamba hatua hiyo itawezekana kwa kupatikana kwa nishati safi ya kupikia iliyo nafuu inayopatikana na kutumika kwa urahisi.

Ameongeza kuwa, mtoa huduma kampuni ya Taifa Gas Limited atahudumia wilaya zilizopo ndani ya Mkoa wa Rukwa kwa kusambaza mitungi 9,765 kwa bei ya ruzuku mitungi ya gesi ya kilo sita pamoja na vifaa vyake katika maeneo ya vijijini na pembezoni mwa miji.

Amezitaja wilaya zitakazonufaika kuwa ni pamoja na Wilaya ya Kalambo, Sumbawanga na Nkasi.

 

You Might Also Like

Kanisa La GCC Kufanya Maombi Kuelekea Uchaguzi Mkuu

Katibu Mkuu CCM Dkt. Nchimbi Akutana na Katibu Mkuu CRC

Mfanyakazi Ana Wajibu Kupeleka Taarifa za Madai

Tani 27, 550  za ufuta zenye thamani ya bilioni 80 zimeuzwa

Ridhiwani Kikwete Kuzindua Miradi ya Maendeleo Songwe

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TTCL Yafanya Maboresho Makubwa Kwa Watumiaji
Next Article Mwongozo wa Mafunzo Elekezi Kwa Walimu Wapya Kazini Mbioni Kukamilika
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Dkt. Ndumbaro : Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Imefanikiwa 
Habari May 20, 2025
Senyamule Ahamasisha Ushiriki Wa Vijana Katika Uchaguzi
Habari May 20, 2025
Polisi Dodoma Yawataka Wananchi Kutoa Taarifa 
Habari May 20, 2025
Wanafunzi UDSM, MUM Kushiriki Fainali Ya Kimataifa Mashindano Ya Chinese Brigde
Habari May 20, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?