MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Biteko Aiwakilisha Tanzania, Uapisho Wa Rais Boko, Botswana
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Biteko Aiwakilisha Tanzania, Uapisho Wa Rais Boko, Botswana
Habari

Biteko Aiwakilisha Tanzania, Uapisho Wa Rais Boko, Botswana

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
BOTSWANA: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko anaiwakilisha Serikali katika sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Botswana Gideon Duma Boko zitakazofanyika Katika Uwanja wa Taifa wa nchi hiyo, leo Novemba nane, 2024.
Akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Gaborone, Dkt. Biteko amepokelewa na Katibu Mkuu wa Vijana, Jinsia, Utamaduni na Michezo, Bridget John, Balozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini, James Bwana pamoja na maofisa wengine waandamizi wa Nchi hiyo.
Boko ni Rais wa Sita Botswana kupitia chama cha Umbrella for Democratic Change.
Uchaguzi Mkuu nchini Botswana ulihitimishwa Oktoba 30, 2024 ambapo Rais Mteule Boko aliibuka mshindi katika uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo.

You Might Also Like

Waziri wa Vijana akutana na Mwita wa Zanzibar

Mkurugezi Mkuu LATRA, Kamanda Ng’anzi Wafanya Ukaguzi Wa Kushtukiza Stendi Ya Magufuli

Rais Samia na maadhimisho ya miaka 60 ya JWTZ

Faru Weusi, Simba, Tembo Waongezeka Ngorongoro

India Kuwekeza Katika Sekta Ya Nishati Nchini

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Majaliwa Akazia Disemba Ni Mwisho wa Kutumia Mkaa. Gesi Kweny Taasisi
Next Article Trump Amteua Mtendaji Mkuu White House, Safari Ya Kuunda Timu Yake
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
Mramba Afungua Mafunzo Ya Teknolojia Ya Nishati Jua Kwa Watalaam
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Miwa Zenye Tija ya Tani 200 kwa Hekta Zaendelea Kuwanufaisha Wakulima
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Mpunga Zazalishwa TARI Dakawa, Ifakara
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?