MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Trilioni 1.2 Kumaliza Tatizo la Maji Dar
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Trilioni 1.2 Kumaliza Tatizo la Maji Dar
Habari

Trilioni 1.2 Kumaliza Tatizo la Maji Dar

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Danson Kaijage

SERIKALI imetoa kiasi cha SH. Trioni 1.2 kwa ajili ya kukamilisha miradi ya maji na kuanzisha mipya katika Jiji la Dar es Salaam.

Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA),Mkama Bwire amesema hayo wakatii akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa mamlaka hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita.

Amesema pia serikali imetoa Sh. Bilioni 16 kwa ajili ya kubadilisha miundombinu mitambo ya maji ambayo imechakaa.

Katika kutekeleza miradi ya maendeleo,  Bwire amesema Serikali imetoa kiasi cha Sh. Bilioni 35.6 kwa ajili ya ujenzi wa tenki kubwa la maji sehemu ya Bangulo kwa ajili ya kupunguza changamoto ya maji.

Amesema ufungaji wa dira za aina ya lipa kabla ya matumizi zitasaidia kwa kiasi kikubwa cha malimbikozo ya mademi kwa wateja wa majumbani na taasisi za Umma.

Bwire amesema mamlaka hiyo kwa sasa inatarajia kufunga Dira 65,000 katika Jiji la Dar Es Salaam na kwa kufunga dira hizo zitapunguza malimbikizo ya madeni kwa wateja au malalamiko ya kubambikiwa bili.

Amesema ufungaji wa dira hizo za lipa kabla ya kutumia zitawafanya wateja wengi kutumia maji yao kadri ya mahitaji kama ilivyo kwa Shirika la Umeme nchini Tanesco

You Might Also Like

Kabonaki: Jiungeni Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Hiari

Ridhiwani Aiagiza CMA Kushughulikia Migogoro Kwa Haraka, Ufanisi

Samia: Sera Iliyozinduliwa, Somo La Ujasiriamali Ni Lazima

OCPD Nguzo Kuu ya Utungaji Sheria – Dkt. Ndumbaro

Rais Samia Aridhia Malipo Ya Fidia Barabara Ya Afrika Mashariki

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Gridi Ya Taifa Ni Dhaifu Kwa Mikoa Ya Kaskazini-Mramba
Next Article Rais Samia Awatega Wateule Wake
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Majaliwa Aituza UDSM kwa Kuongoza Eneo La Elimu, Utafiti, Ubunifu Sabasaba 2025
Habari July 14, 2025
Nyanya Cheri na Ngogwe Chungu Zarejea 
Habari July 13, 2025
NFRA Yawaalika Wadau Kununua Nafaka kwa Masoko ya Ndani na Nje
Habari July 13, 2025
Kafulila: Ushirikiano wa Sekta Binafsi na Umma Kuboresha Huduma
Habari July 13, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?