MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Majaliwa Akazia Disemba Ni Mwisho wa Kutumia Mkaa. Gesi Kweny Taasisi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Majaliwa Akazia Disemba Ni Mwisho wa Kutumia Mkaa. Gesi Kweny Taasisi
Habari

Majaliwa Akazia Disemba Ni Mwisho wa Kutumia Mkaa. Gesi Kweny Taasisi

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
.Na Mwandishi Wetu
DODOMA: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema ifikapo mwishoni mwa Disemba mwaka huu, iwe ni mwisho kwa matumizi ya mkaa na kuni kwa taasisi zinazoandaa chakula kwa zaidi ya watu 100.
Aidha Majaliwa ameshauri matumizi ya teknolojia ya nishati safi ya kupikia,.
Majaliwa ametoa maagizo hayo leo Novemba 07, 2024 alipotembelea na kukagua hatua za maandalizi ya utekelezaji wa mkakati wa kitaifa wa matumizi ya nishati safi za kupikia katika Gereza la Isanga, Dodoma
Katika hilo amesema, Serikali itafanya ukaguzi kwa kila Taasisi kuona utekelezaji wa agizo hilo.
Ameeleza manufaa ya kutumia nishati safi y
Ni pamoja na kutokuwepo na moshi wakati wa utumiaji hivyo kupunguza madhara ya kiafya kwa mtumiaji tofauti na matumizi ya kuni pia teknolojia hiyo inauwezo wa kupika chakula kingi kwa muda mfupi na kwa gharama nafuu.
Kwa upande wake, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni ameishukuru Serikali kwa kazi inayofanya katika kuleta mabadiliko makubwa kwa Wizara na vyombo vyake vya usalama ikiwemo Jeshi la Magereza.
Masauni amesema Gereza hilo la Isanga limechangamkia fursa ya utekelezaji wa azma ya Serikali kwa vitendo ya matumizi ya nishati safi ya kupikia.
Awali akisoma taarifa ya utekelezaji wa mkakati wa kitaifa wa nishati safi za kupikia Kamishna Jenerali wa Magereza (CGP) Jeremiah Katungu amesema Gereza hilo limeshaanza utekelezaji wa mkakati huo kama ilivyokusudiwa kwa kupokea jumla ya tani 15 za mkaa mbadala na majiko sita na utaratibu wa kusimika mifumo ya matumizi ya gesi ya LPG unaendelea na utakamilika hivi karibuni.

You Might Also Like

Jeshi la polisi kumhoji anayesambaza taarifa za uongo

Wataalamu wa Tanzania, Kenya Watoa Ufafanuzi Kuhusu Maana Na Matarajio Ya Jumuiya Ya China, Afrika yenye Mustakabali wa Pamoja

Hivi Ndivyo Vipaumbele Vya Maliasili

TARI yapongezwa kwa kuwa na teknolojia bora za kilimo

Ridhiwani Aongoza Waliojiajiri Kujiunga, Kuweka Akiba NSSF

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Bil.19 kusambaza umeme vitongojini Tabora
Next Article Biteko Aiwakilisha Tanzania, Uapisho Wa Rais Boko, Botswana
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?