MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TRAWU Yazindua KAMPENI ya Afya Na Usalama Mahali Pa Kazi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TRAWU Yazindua KAMPENI ya Afya Na Usalama Mahali Pa Kazi
Habari

TRAWU Yazindua KAMPENI ya Afya Na Usalama Mahali Pa Kazi

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
CHAMA cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU) kimezindua kampeni ya Afya na Usalama Mahala Pa Kazi itakayowafikia wafanyakazi wao katika maeneo yanayofika reli ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) na Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA).
TRAWU imezindua kampeni hiyo kwa kushirikiana na Wakala wa Afya na Usalama Mahala pa Kazi (OSHA) pamoja na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi ( WCF),
Naibu Katibu Mkuu wa TRAWU, Edo Makatta amesema kwamba wameshazindua kampeni hiyo upande wa TAZARA ambapo semina ya kwanza imefanyika mkoani Dar es Salaam mwezi huu, ambapo OSHA na WCF ndio wwaliotoa mafunzo hayo.
Amesema kampeni hiyo ni chachu ya kuwaunganisha wafanyakazi kuwa na mshikamano na umoja katika kusimamia ki na masslahi y wafanyakazi.
“Hii ni kampeni maalum na endelevu ambapo tunataraji wafanyakazi waliopo Mashirika ya Reli nchini yaani TAZARA na TRC na nilisema TRC namaanisha ndani wamo SGR. Hivyo kuridhia kwa OSHA na WCF  kumetusaidia sana kupunguza gharama za kulipa wawezeshaji ambazo zimebebwa na taasisi husika. Tunatumia nafasi hii kuzushukuru Taasisi hizi kuridhia kufanya kazi na TRAWU. Huu ni mwanzo mzuri na tunaamini tutafanyia nao kazi maeneo mengi.
“‘Semina hizi zitawafungua wafanyakazi juu ya haki zao za kimsingi kuhusu nini OSHA wanawajibika kwa wafanyakazi na nini WCF unahudumia wafanyakazi. Mambo ni mengi wameanza kuelimishwa juu ya Haki zao na ni Imani Elimu hii itasambaa,” amesema.

You Might Also Like

Wabunge Waitaka Ujenzi Kuwa Na Mageuzi Makubwa Ya Ujenzi Wa Barabara

Ridhiwani Ateta na Viongozi wa Vijiji Lugoba, Chalinze 

Hospitali ya Temeke kufanyiwa maboresho eneo la huduma Kwa wateja

TARI Yawapa Elimu Wakulima, Maofisa Ugani 165 Kilimo Cha Matunda

Matwebe Aipongeza Serikali Kushirikisha JUMIKITA  Kwenye Shughuli Za Kitaifa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kasulu Yatoa Mafunzo Utumiaji wa Mfumo Wa Kieletroniki Kwa Wakuu wa Divisheni, Vitengo
Next Article Wagonjwa Wenye Maumivu Makali Kupatiwa Tiba Radiolojia MNH
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Watendaji Wakuu Waagizwa Kuifanya Dira 2050 Kuwa Mwongozo Wa Maamuzi Yao
Habari July 24, 2026
Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto
Uncategorized July 17, 2026
Wananchi Washauriwa Kutumia  Wataalam Wa Ujenzi Kuepuka Madhara
Habari July 14, 2026
July 14, 2026
Uncategorized July 14, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?