MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Majukwaa YA Dini Yaimarishe Mapambano Dhidi ya Magonjwa Ya Mlipuko
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Majukwaa YA Dini Yaimarishe Mapambano Dhidi ya Magonjwa Ya Mlipuko
Habari

Majukwaa YA Dini Yaimarishe Mapambano Dhidi ya Magonjwa Ya Mlipuko

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi wetu
NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka Viongozi wa Dini nchini kote kutumia majukwaa yao kusaidia Serikali kutoa elimu sahihi kuepuka na kukabiliana na magonjwa ya mlipuko ya Mpox, Kipindupindu na Marbug.
Akimwakilisha Waziri wa Afya Jenister Mhagama, kwenye Mkutano wa Viongozi wa dini kuhusu tahadhari ya magonjwa ya mlipuko na Bima ya Afya kwa Wote, Dkt. Mollel ameeleza hayo.
Dkt Mollel amesema viongozi wa dini wana wajibu kiroho kuhakikisha wanailinda jamii na maradhi yanayoepukika kwa kutumia majukwaa yao ya ibada.
“Tunazungumza nanyi kwa niaba ya waumini, viongozi wa dini kote nchini isaidieni Serikali kutoa elimu sahihi ya kuepukana na magonjwa ya mlipuko kama Mpox, Kipindupindu na Marbug,” amesema.
Amesema serikali imeendeleza jitihada za afua mtambuka ili kuhakikisha nchi inabaki salama.
“Wakati tukifuatilia wasilisho tumeona ramani ya Tanzania ikiwa nyeupe lakini wenzetu wanao tuzunguka wameshapata visa vya baadhi ya magonjwa ya mlipuko, sasa niwaombe muemde mkazungumze na wanajamii ili ramani ya Tanzania izidi kubaki nyeupe,” amesema.
Naye katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amesema ipo haja ya pande hizo mbili kuendelea kufanya kazi kwa pamoja ili  wananchi ambao ni waumini kwenye nyumba za ibada  kuwa salama na kuendelea na majukumu yao.
“Tumekubaliana tunatoka hapa tukiwa na nia moja, tunaenda kuwahimiza waumini wetu lakini pia na sisi wenyewe kwa usafi ndio kila kitu, baadhi ya mila na desturi zetu zinazokuwa hatarishi tuziepuke na sisi tuwajibike na kuhakikisha tunaendelea kuwa salama na mwisho wa siku nchi yetu kwa ujumla itakuwa salama,” amesema.
Kwa upande wao wawakilishi wa viongozi wa dini  wameipongeza Serikali kwa kutumia majukwaa ya dini kuendelea kufikisha elimu ya afya kwa umma na kuahidi kwenda kuwahimiza waumini dhidi ya magonjwa hatarishi ya mlipuko.

You Might Also Like

Wanaosimamia Mitandao Ya Serikali Wadhibiti Usalama Wake

Serikali Kumuenzi Mzee Morris, Ngoma Zake 10

Kafulila: Deni La Taifa Ni Himilivu

Hospitali ya Temeke kufanyiwa maboresho eneo la huduma Kwa wateja

Wapongeza Nyongeza Ya Likizo Kwa Aliyejifungua Mtoto Njiti

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TARI Yanufaisha Wadau Wa Kilimo, Ugunduzi Wa Mbegu Bora Na Za Kisas
Next Article TARI Yakutanisha Wadau Kuwaeleza Matokeo Ya Tafiti Za Mbegu Wanazofanya
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?