Nenda moja kwa moja kwenye maudhui
November 6, 2026
Habari Lucy Ngowi 10

Waziri wa Vijana akutana na Mwita wa Zanzibar

Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amekutana na kufanya Mazungumzo na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Tabia Mwita jijini Dar es Salaam.
Ridhiwani amesema amekutana na Mwita  katika ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar Es Salaam.
Amesema Waziri Mwita yupo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya  kuhudhuria mkutano wa Vijana na Amani.
Je, habari hii ilikusaidia?
Sambaza

Maoni 0

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Acha maoni

Barua pepe yako haitachapishwa. Sehemu zenye * ni lazima.