MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Sababu Nne Zilizofanikisha Mafanikio Katika Uandikishaji
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Sababu Nne Zilizofanikisha Mafanikio Katika Uandikishaji
Habari

Sababu Nne Zilizofanikisha Mafanikio Katika Uandikishaji

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
  Na Mwandishi Wetu Kasulu
KIGOMA:  MAELEKEZO ya Rais Samia Suluhu Hassan yanayotaka utumikaji wa 4R katika shughuli zote  za kitaifa zinazoakisi maridhiano, mabadiliko, ustahimilivu na kujenga upya yamewezesha kufanikiwa kwa uandikishwaji katika Daftrari laMpiga Kura Kasulu.
Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, Kigoma Dkt, Semistatus Mashimba amesema hayo alipozungumza na Waandishi wa Habari.
Amesema kupitia misingi hiyo katika mchakato  huo mzima wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na uandikishaji katika wilaya hiyo wameshirikiana  na viongozi wote wa chama na serikali,vyama vyote vya siasa, makundi ya wazee maarufu, vijana na vikundi vya sanaa ili kuhakikisha unafanikiwa.
Ametaja jambo lingine ni kuzingatia miongozo waliyopewa na viongozi mbalimbali kuanzia ngazi ya mkoa,wilaya pamoja na halmashauri,
Vilevile miongozo na kanuni iliyoratibiwa   vizuri na  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI
iliyosaidua vifaa na fedha kufika kwa wakati hali iliyosababisha mchakato kutokuwa na dosari.
Pia amevishukuru Vyombo vya Habari wilayani hapo
 kwa hamasa kubwa waliyoitoa iliyochangia wananchi kwenda kujiandiskisha,

You Might Also Like

PSSSF MSHINDI WA KWANZA TUZO ZA UANDAAJI BORA MAHESABU ZA NBAA, 2023

Sekta Ya Madini Yazidi Kuchangia Ukuaji Wa Uchumi – Majaliwa

AGITF Kutekeleza Dira Kwa Kasi Kwa Kuwezesha Wakulima Kunufaika Na Mikopo Ya Bei Nafuu

Ukosefu wa Chakula Shuleni Waathiri Wanafunzi Longido, CORDS Waja na Mrad

UDSM Yamtunuku Rais AfDB Shahada Ya Heshima Ya Sayansi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kongamano  La Kimataifa La Jotoardhi Laanza Kwa Mafanikio
Next Article Tume Ya Kurekebisha Sheria Tanzania Kuipitia Sheria Ya Takwimu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Watendaji Wakuu Waagizwa Kuifanya Dira 2050 Kuwa Mwongozo Wa Maamuzi Yao
Habari July 24, 2026
Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto
Uncategorized July 17, 2026
Wananchi Washauriwa Kutumia  Wataalam Wa Ujenzi Kuepuka Madhara
Habari July 14, 2026
July 14, 2026
Uncategorized July 14, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?