MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Watumishi wa serikali watakiwa kutokuwa kikwazo kwa wawekezaji
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Watumishi wa serikali watakiwa kutokuwa kikwazo kwa wawekezaji
Habari

Watumishi wa serikali watakiwa kutokuwa kikwazo kwa wawekezaji

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo amewataka watumishi wa serikali kutokuwa kikwazo kwa wawekezaji badala yake wawe msaada kwa wawekezaji kufikia malengo yao.
Ili kuwezesha uwekezaji kusonga mbele kwa kila mwenye jukumu kuhakikisha amelitimiza.
Ametoa rai hiyo alipotembelea kiwanda cha Lodhia kinachotengeneza mabati kilichopo Kisanvule , Mkuranga Kukagua shughuli zinazofanywa kiwandani hapo.
“Naomba uwekaji wa transfoma uwe umekamilika ndani ya wiki tatu ili kuhakikisha dhamira ya Rais Samia ya kuwa na viwanda inakamilika,” amesema.
Amesema kiwanda hicho kimetumia zaidi ya Shi bilioni 162 kufunga mitambo hivyo wanapaswa kuanza uzalishaji.
“Huo ni uwekezaji mkubwa ambao utaongeza ajira nchini na pato la taifa kwa ujumla. Uwekezaji umeendela kujipambanua na umeongeza wigo wa kupunguza tatizo la ajira.
“Nimeona baadhi ya changamoto ambayo serikali ikiweza kufanyia kazi viwanda hivi vitafanya uzallishaji na hiki kiwanda kipya kabisa kadhalika kitaanza uzalishaji,” amesema.
Kuhusu tatizo la trasfoma tayari Mamlaka ya Mapato Tanzania imeshakamilisha taratibu hivyo ni jukumu la Tanesco kulifanyia kazi ili umeme uwafikie wawekezaji wa Mkuranga.
Naye Mkurugenzi wa kiwanda cha  Lodhia, Sailesh Pandit amesema kwa sasa kiwanda kimekamilika wanasubiri kupata umeme ili waanze uzalishaji.
Pandit amesema uzalishaji utakapoanza wanatarajia kuzalisha kati ya tani 5000 hadi 10000 kwa mwezi.
“Watanzania tunatakiwa kusaidiana na kuona fahari ya kununua bidhaa wanayoiona inavyotengezwa nchini kwao. Kuna kasumba fulani yakuona bidhaa za nje ni bora kuliko za ndani. Lakini niwahakikishie bidhaa zetu zinakidhi ubora wa kimataifa.
“ Baada ya wiki tatu tunaanza uzalishaji wa mabati kama ambavyo waziri amesema TRA wamekamilisha na kuruhusu transforma itolewe bandarini. Hapa tunasubiri Tanesco waje kufunga  ili supply ya umeme iwepo,” said Pandit soko letu litaanza ndani na baadaye ukisha kuwepo utoshelevu tutakwenda Afrika Mashariki.
Amesema kwa sasa kiwanda kimetoa ajira ya moja kwa moja kwa  watanzania 620,
pia kuna ajira ya isiyo ya moja kwa moja kama vibarua.
Naye mkuu wa Wilaya ya Mkuranga ,Hadija Ally amesema uwepo wa kiwanda hicho kitaongeza uchumi wa mtu mmoja mmoja na wilaya pia.

You Might Also Like

Kikosi Kazi Maalumu Cha Kupitia Muongozo Wa Ufasili Wa Sheria Chazinduliwa

Mgodi Wa Dhahabu Wa Nyanzaga Kunufaisha Wananchi, Ujenzi Wazidi Kupaa

Dodoma Yazizima Wakati Samia, Nchimbi  Wakichukua Fomu Ya Urais

Majaliwa Afanya Harambee Ya Mei Mosi 2025

Mpango Kazi Wa Kupambania Haki Za Wenye Ulemavu Kuzinduliwa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Askari wa Jeshi La Uhifadhi Kusini Wakumbushwa Wajibu
Next Article Bandari ya Kilwa kuleta mapinduzi sekta ya uvuvi nchini
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?