MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wagonjwa 472 Waonwa Na Daktari Wa Mifupa MOI, 40 Wapendekezwa Kufika Dar kwa Matibabu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wagonjwa 472 Waonwa Na Daktari Wa Mifupa MOI, 40 Wapendekezwa Kufika Dar kwa Matibabu
Habari

Wagonjwa 472 Waonwa Na Daktari Wa Mifupa MOI, 40 Wapendekezwa Kufika Dar kwa Matibabu

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
MBEYA: DAKTARI wa Mifupa kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dkt. Angela Mlingi, amesema wamehudumia jumla ya wagonjwa 472, ambapo wengi wao wamebainika kuwa na changamoto za kiafya kwenye maeneo ya mgongo na nyonga.
Dkt. Angela amesema hayo alipozungumza na Waandishi wa Habari katika Mqadhimisho ya Wiki ya Vijana yanayomalizika Oktaba 14, 2025.
Habari Picha 9959
Amesema kati ya wagonjwa hao 472, takriban 40 wamependekezwa kufika MOI, Dar es Salaam kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya kina kutokana na hali zao za kiafya kuhitaji utaalamu zaidi.
Amesema wagonjwa wenye hali ya wastani wameelekezwa kufika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya kwa matibabu, huku Daktari huyo akieleza kuwa hospitali hiyo sasa ina uwezo mkubwa wa kutoa huduma za tiba ya mifupa baada ya madaktari wake kupatiwa mafunzo na MOI.
“Tunawashukuru wananchi kwa namna walivyojitokeza na kufurahia huduma. Hii inaonesha kuwa kuna uhitaji mkubwa wa elimu kuhusu afya ya mifupa, hasa ukizingatia kwamba watu wengi hupuuzia dalili za awali za maumivu kwa sababu ya uelewa mdogo,” amesema.
Habari Picha 9960
Ametoa wito kwa wananchi kujenga mazoea ya kufanya mazoezi mara kwa mara na kufika hospitalini pindi wanapohisi mabadiliko yoyote ya kiafya badala ya kusubiri hali kuwa mbaya.
“Wagonjwa wengi wanajua kuwa wanaumwa lakini kufuata huduma hospitalini imekuwa changamoto. Tunawahimiza watu wakapime afya zao mapema ili kama kuna tatizo, litibiwe kwa wakati,” amesema.

You Might Also Like

Serikali Yasisitiza Utoaji Huduma Bora Utekelezaji Bima Ya Afya

Tume ya Kurekebisha Sheria Yaelimisha Umma Kuhusu Haki za Wanyama

MGOMBEA URAIS WA CCM AENDELEA NA KAMPENI BABATI, MANYARA

Wafanyabiashara: Tupo Tayari Kushirikiana na Serikali

EAC Yaweka Mguu Chini Ushirikishwaji Wa Wanawake Katika Amani, Ulinzi Na Usalama

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Serikali Yajizatiti Kukabiliana na Maafa – Majaliwa
Next Article Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar Atoa Rai Kuhusu Afya ya Akili kwa Vijana
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

VETA kumpa nafasi Igobeko kuongeza ujuzi na kuwawezesha wengine
Habari August 23, 2026
Airtel Yajenga Darasa La Fursa Katika Shule Ya Sekondari Magaoni,Tanga
Habari August 23, 2026
Bunifu ya dawa ya mayai yapunguza hasara kwa wafugaji wa kuku
Makala August 22, 2026
Dkt Yonaz Awakumbusha Vijana Kulinda Afya Zao Katika Mapambano Dhidi Ya Ukimwi
Habari August 22, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?