MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TARI yapongezwa kwa kuwa na teknolojia bora za kilimo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TARI yapongezwa kwa kuwa na teknolojia bora za kilimo
Habari

TARI yapongezwa kwa kuwa na teknolojia bora za kilimo

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu, Pemba
ZANZIBAR: WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,  Shamata Shaame Khamis ameipongeza Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), kwa kuwa na teknolojia za kilimo zinazo mwongezea mkulima tija.
Khamis ametoa pongezi hizo alipotembelea banda la TARI katika Maonesho ya siku ya chakula Duniani yanayofanyika viwanja vya Chamanangwe Kisiwani Pemba.
Maonesho hayo yamebebwa na kauli mbiu isemayo, ‘Haki ya Chakula  kwa Wote kwa Maisha bora ya Sasa na yajayo’.
Maonesho hayo yanafunguliwa rasmi leo Oktoba 10, 2024, Mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla.

You Might Also Like

NHIF: Ruksa wanachama kutumia NIDA

Mwanachama Wa TALGWU Akutwa Hana Hatia

Kima Cha Chini Cha Mshahara Chapanda Kwa Asilimia 35.1-Rais Samia

Serikali imejipanga Mkakati wa Taifa wa Matumìzi ya nishati safi ya kupikia – Mramba

Kilimo Shadidi Kinapunguza Uzalishaji Wa Gesi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article VETA yawafikia madereva ‘Boda boda’
Next Article Askari wa Jeshi La Uhifadhi Kusini Wakumbushwa Wajibu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nchimbi Ahimiza Ushirikiano wa Wizara Katika Uhifadhi wa Mazingira
Habari March 10, 2026
Mtaka, Ndunguru Wakubaliana Ujenzi wa Maabara ya Kimkakati Njombe
Habari March 10, 2026
Wataalamu wa Fedha SADC Wakutana Pretoria Kujadili Bajeti
Habari March 9, 2026
TASFAM Yawawezesha Wanawake wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Kuadhimisha Siku ya Mwanamke
Habari March 9, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?