MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Serikali Kuendelea Kutenga Fedha Kwa ajili ya Ukamilishaji wa Maboma ya Vituo vya Afya
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Serikali Kuendelea Kutenga Fedha Kwa ajili ya Ukamilishaji wa Maboma ya Vituo vya Afya
Habari

Serikali Kuendelea Kutenga Fedha Kwa ajili ya Ukamilishaji wa Maboma ya Vituo vya Afya

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya Dkt. Festo Dugange amesema Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya ukamilishaji wa maboma ya vituo vya afya yanayoanzishwa kwa nguvu za Wananchi ili kufanikisha utoaji wa huduma za afya kwa Wananchi wote.

Dkt. Dugange amesema hayo leo ( katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma, wakati akijibu swali la Mbunge wa viti Maalumu Rose Vicent Busiga, lililouliza kuwa ni lini Serikali itapeleka fedha za kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Afya Kata ya Nhomolwa – Mbogwe.

Akijibu swali hilo Dkt. Dugange amesema “Katika mwaka wa fedha 2022/2023 na 2023/2024, Serikali kupitia mapato ya ndani ya Halmashauri ya Mbogwe, ilipeleka sh Milioni 100 kwa ajili ya ukamilishaji wa jengo la wagonjwa wa nje na nyumba ya watumishi, na tayari ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje unakamilika na kituo kimeanza kutoa huduma tangu Oktoba, 2023”.

Amesema katika mwaka wa fedha 2024/2025, Serikali kupitia mapato ya ndani ya Halmashauri ya Mbogwe imetenga jumla ya shilingi Milioni 50 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa jengo la Maabara na Serikali itaendelea kutenga fedha kwa awamu kwa ajili ya ukamilishaji wa ujenzi wa majengo ya kituo cha Nhomolwa.

You Might Also Like

Kamati Ya Bunge Yaipongeza TVLA Uzalishaji wa chanjo

UTT AMIS Yazindua kampeni ya ‘Kijiwe Mchongo

Thamani ya Fedha Ionekane Kwenye Utekelezaji wa Miradi-Nyamoga

Wanafunzi UDSM, MUM Kushiriki Fainali Ya Kimataifa Mashindano Ya Chinese Brigde

TEA Kuhakikisha Mazingira Ya Kujifunzia, Kufundishia Yanaboreshwa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article OCMS Kuleta Usawa na Haki Kwa Wafanyakazi
Next Article Rais Samia atoa zaidi ya bil. 2.1 usimikaji wa mifumo, uendeshaji mashauri ya wafanyakazi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Utafiti Wa Nguvu Kazi, Mapato Ya Kaya Kutoa Taswira Mpya Ya Maendeleo
Habari July 15, 2025
Majaliwa Aituza UDSM kwa Kuongoza Eneo La Elimu, Utafiti, Ubunifu Sabasaba 2025
Habari July 14, 2025
Nyanya Cheri na Ngogwe Chungu Zarejea 
Habari July 13, 2025
NFRA Yawaalika Wadau Kununua Nafaka kwa Masoko ya Ndani na Nje
Habari July 13, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?