MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: CPC chatambua juhudi za Rais Samia
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > CPC chatambua juhudi za Rais Samia
Habari

CPC chatambua juhudi za Rais Samia

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
CHAMA cha Kikomunisti cha China (CPC), kimesema chama hicho na serikali yake kinatambua juhudi kubwa za kuleta maendeleo zinazofanywa na Rais Samia
Suluhu Hassan nchini Tanzania.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Idara ya Mambo ya Nje wa CPC, Liu Jianchao alipokutana na kuzungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ( CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi, katika Makao Makuu ya Ofisi za Idara ya Mambo ya Nje ya CPC, Jijini Beijing China leo.
Jianchao amesema kuwa chini ya uongozi wa Rais Samia, Tanzania imekuwa na
mabadiliko makubwa, yanayoonekana katika nyanja zote za viashiria vya ukuaji uchumi.
Balozi Nchimbi, pamoja na
Kufikisha salamu za Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania, Samia, amesema kuwa CCM, Serikali zake mbili na Tanzania kwa ujumla wanaichukulia China, ni mojawapo ya mifano ya kuigwa.
Dkt. Nchimbi amesema chini ya uongozi wa Rais Xi Jinping, CPC imeweza kuiongoza China kupiga hatua za maendeleo makubwa kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita.
“Kupitia mazungumzo hayo, Balozi Nchimbi na Jianchao, wamerejea msingi imara wa
uhusiano wa vyama vyao na nchi hizi mbili, tangu wakati wa uongozi wa Baba wa Taifa
Mwalimu Julius Nyerere na Mwenyekiti Mao Zedong,
.
“Wamekubaliana umuhimu wa
kuendelea kuimarisha udugu huo wa kirafiki, kwa ajili ya manufaa ya Tanzania na China,” imesema taarifa iliyotolewa na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Rabia Hamid.
Taarifa hiyo imesema Mkutano huo wa
Balozi Nchimbi na Jianchao ni sehemu ya ratiba ya ziara ya Ujumbe wa Viongozi wa CCM nchini China, iliyoanza Agosti 24, 2024, inayolenga kuendeleza na
kuimarisha zaidi urafiki wa kihistoria kati ya vyama vya CCM na CPC na uhusiano wa
kidiplomasia kati ya Tanzania na China, ambao umedumu kwa miongo sita sasa.

You Might Also Like

NBS: Utumiaji Wa Takwimu Nyenzo Muhimu Kwa Mama Lishe

Kameta awaasa watanzania kutonunuliwa  kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mtaa, Mkuu

Usafirishaji Shehena Waingiza Dola Bilioni 3.54

Wakandarasi Miradi wa  TAZA Watakiwa Kukamilisha Kazi kwa Wakati 

Tume Yapongeza OCPD kwa Mabadiliko ya Sheria

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article RAAWU yapokea migogoro 16, yaishughulikia
Next Article TUGHE: Wafanyakazi wapewe haki ya kujiunga vyama vya wafanyakazi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Majaliwa Apongeza Jeshi La Magereza Kurasimisha Ujuzi Kwa Wafungwa
Habari August 27, 2025
Mapokezi Ya Katibu Mkuu CCM  Dkt Migiro CCM, Aahidi Ushirikiano
Habari August 27, 2025
Majaliwa Aagiza Kuimarishwa kwa Mafunzo ya Ufundi Stadi Nchini
Habari August 27, 2025
VETA Yaanzisha Kozi Mpya ya Teknolojia ya Mifumo ya Viwandani
Habari August 26, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?