MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Magonjwa ya misuli yaongezeka mahala pa kazi-OSHA
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Magonjwa ya misuli yaongezeka mahala pa kazi-OSHA
Habari

Magonjwa ya misuli yaongezeka mahala pa kazi-OSHA

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
3 Min Read
Na Lucy Lyatuu
WAKALA wa Usalama na Afya Mahali pa kazi (OSHA), umesema  magonjwa kazi ikiwemo misuli, mgongo , viuno na shingo yamekuwa yakiongezeka kutokana na  kutozingatiwa kwa usalama na afya maeneo mbalimbali ya kazi.
Aidha, umesema kuwa wastaafu walio wengi wanapata magonjwa kazi  kutokana na mtindo wa maisha wanapokuwa kazini.
Hayo yamesemwa leo Dar es Salaam na Ofisa Mtendaji Mkuu wa OSHA, Hadija Mwenda alipokuwa akifungua semina ya wanachama wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari (JOWUTA) .
Amesema kuwa hakuna mazingira ya kazi yasiyo na vihatarishi hivyo, ni lazima Wakala huo kufanya kaguzi za mara kwa mara za afya na usalama ili kuwalinda wafanyakazi wawe na afya njema.
Ameeleza kuwa ajali maeneo ya kazi zimepungua kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia na matumizi ya ajili mnemba.
“Tunatakiwa kuweka mifumo dhidi ya vihatarishi vinavyotokea mahali pa kazi. Mtindo wa ukaaji , viti vinavyotumika vinapaswa kuzingatia usalama na afya vinginevyo kuna athari kubwa kiuchumi,” amesema Mwenda.
Ameongeza kuwa kutozingatiwa kwa kanuni za usalama na afya huwafanya wafanyakazi kutumia muda mwingi hospitali  na kufanya kazi kwa muda mchache na kuishia masikini.
Mwenda amesema kuwa kuna athari kubwa kiuchumi, kijamii na kisiasa na kwamba  sheria hiyo huleta utulivu na kukuza uchumi hivyo, wanaendelea kuwekeza katika kutoa elimu.
Vilevile amesema tathmini waliyoifanya walibaini kuwa bado watanzania Wana uelewa mdogo kuhusu sheria zao, hivyo kwa kutumia waandishi wa habari wanaamini watafikia watu wengi.
Kwa upande wake, Wakili wa OSHA, Rehema Msekwa amesema  kila mwajiri katika  taasisi, kampuni na viwanda anapaswa kujisajili kwani kwa kukaa kimya wanafanya makosa.
Amesema  wafanyakazi wanahaki ya kufanyiwa vipimo na madaktari ambao wamepewa jukumu hilo na OSHA ili kubaini changamoto zao na kuwapangia maeneo sahihi ya kufanyia kazi
Mwenyekiti wa JOWUTA, Mussa Juma  amesema  waandishi wa habari wanatakiwa kuwekewa mazingira bora kwa kufuata sheria ya usalama na afya mahali pa kazi.
Amewema  kwa ujumla ofisi zote za waandishi wa habari hazina sera ya usalama na afya mahali pa kazi, hivyo waajiri wanapaswa kuzingatia ili wafanyakazi wao waweze kuwa salama.

You Might Also Like

Mapinduzi ya Elimu Geita: Wasichana Wamerudi Shule kwa Kasi

Wananchi Wahimizwa Kulinda Maeneo Yaliyohifadhiwa  Kisheria- Kamishna  Wakulyamba

Makampuni 408 Ya Tanzania Yaruhusiwa Kusafirisha Mazao Ya Kilimo Kwenda China

TARI Yaja Na Jawabu 88 Juu Ya Tindikali, Chumvi Kwenye Udongo

Awamu Ya Pili Uboreshaji, Uwekaji Wazi Wa Dafatri La Wapiga Kura Kuanza Mei

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Waziri Jenista akabidhiwa ofisi rasmi na Ummy Mwalimu
Next Article Tanzania Ipo Tayari Soko la Pamoja kuuziana Umeme – Biteko
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mwandishi Lucy Ngowi Miongoni mwa Waliong’ara Mei Mosi
Habari May 2, 2026
Tanzania yaendelea kuwa Shule ya Utumishi Barani Afrika,
Habari April 29, 2026
Wizara Ya Kilimo Yaomba Bunge Kuidhinisha Trilioni 1.1,Yaweka Mikakati Kuimarisha Sekta Hiyo
Habari April 28, 2026
NSSF Yafikia Trilioni 11.2, Hifadhi Skimu Yatajwa Kubadili Maisha ya Watanzania
Habari April 27, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?