MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Rais Mwinyi adhamiria kusimamia ubora wa bidhaa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Rais Mwinyi adhamiria kusimamia ubora wa bidhaa
Habari

Rais Mwinyi adhamiria kusimamia ubora wa bidhaa

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Mwandishi Wetu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hussein Ali Mwinyi  amesema katika utekelezaji wa ilani ya CCM  ya mwaka 2020 hadi 2025 , Serikali imedhamiria kusimamia ubora wa bidhaa kwa kuziweshesha taasisi zinazosimamia ubora ikiwemo Taasisi ya viwango Zanzibar (ZBS) kwa kuwa na maabara za kisasa na wataalamu wenye uwezo kwa kazi upimaji na ukaguzi.

Mwinyi aliyasema hayo leo tarehe 6 Agosti 2024, alipofungua kituo cha ukaguzi wa vyombo vya moto, Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi.

Aidha Rais Mwinyi amesema Serikali imeendelea kuchukua hatua ya kuimarisha miundombinu ya ZBS kwa kujenga kituo cha ukaguzi wa vyombo vya moto ambacho amekifungua.

Kwa upande mwingine Rais Mwinyi ameeleza kuwa Serikali itaendelea kufanya juhudi na  kuchukua hatua za kuhakikisha wananchi wanakuwa salama kwa kujenga miundombinu imara kuwezesha  shughuli za kusimamia ubora ziwe za kisasa kwa kuwapatia majengo ya maabara na vifaa vya kisasa.

You Might Also Like

TPHPA, MUCE Wasaini Hati Ya Makubaliano Maeneo Yanayogusa Sayansi

Bodi ya mkonge kutoa ajira kwa watu 10,000 ifukapo 2030

Makamu wa Rais Azindua Mpango wa Kukuza Ujuzi, Ajira kwa Vijana

Rais CWT Asikitishwa Na Uzembe, Maofisa Wa Halmashauri

RC Chalamila Ataka Reli Za Ndani Ya Mkoa Kusafirisha Abiria, Kupunguza Msongamano

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mpango Mkakati wa Takwimu wazinduliwa
Next Article Kusiluka aitaka TVLA kuongeza tafiti za chanjo 
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali Yaingia Makubaliano Ya Ushirikiano Na DIT Kuimarisha Usimamizi Wa Mataifa
Habari June 8, 2026
Wananchi Waelimishwa Masharti ya Kubadilisha Noti Zilizochakaa, Kuungua na Kuchanika
Habari June 7, 2026
DMI Yawaalika Vijana Kujiunga Na Masomo Ya Ubaharia
Habari June 6, 2026
Taifa Gas Yaendelea Kuongoza Kampeni ya Nishati Safi kwa Taasisi na Sekta ya Utalii Tanzania
Habari June 6, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?