MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mpango Mkakati wa Takwimu wazinduliwa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mpango Mkakati wa Takwimu wazinduliwa
Habari

Mpango Mkakati wa Takwimu wazinduliwa

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

OFISI ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa imezindua Mpango Mkakati wa Takwimu na utekelezaji wake ambao umelenga kuwezesha upatikanaji, ufikiaji na matumizi ya takwimu katika ngazi ya mamlaka za serikali za mitaa.

Akizungumza wakati wa kuzindua mkakati huo, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Adolf Ndunguru amesema matumizi hafifu ya teknnolojia katika ukusanyaji wa takwimu hasa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa unachangia katika kukosekana kwa takwimu sahihi na zenye ubora ambazo ni muhimu katika kufanya maamuzi mbalimbali.

Amesema hatua hiyo itasaidia kuimarisha uwezo wa watendaji wa serikali katika ukusanyaji, uchambuzi na matumizi ya takwimu ili kuboresha huduma kwa wananchi.

Ndunguru anafafanua kuwa kuanzishwa kwa mpango hui ni hatua muhimu katika kuboresha mfumo wa usimamizi wa takwimu nchini kutokana na uwepo wa mahitaji ya takwimu kwa kiwango cha juu.

Pia ni kutokana na uwepo wa matumizi hafifu ya takwimu katika kupanga mipango kwenye maeneo mbalimbali, mpango huu utasaidia kufanya ufuatiliaji na tathimini ya utoaji wa huduma kwa wananchi.

Amesema pia uwepo wa mpango huo utasaidia kuimarisha uwazi na uwajibikaji katika mipango mbalimbali ya maendeleo na kuunga mkono mpango wa kitaifa wa takwimu.

Aidha, Ndunguru ametumia fursa hiyo kutoa wito kwa wadau, serikali mashirika yasiyo ya kiserikali na sekta binafasi kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa mpango mkakati huo.

Akitoa salama Katibu Tawala Mkoa wa Tabora, Dk John Mboya amesema mkakati huo ni muhimu kwani unaenda kuleta uwazi na uwajaibikaji kwenye halmashauri ambazo ndizo zinachangia kwa kiasi kikubwa takwimu za nchi.

Pia ametumia fursa hiyo kuiomba Ofisi ya Rais –TAMISEMI kuangalia namana ya kuendelea kuwajengea uwezo watakiwmu katika ngazi ya halmashauri ili waweze kusimamia vizuri.

You Might Also Like

Dkt Biteko Ampongeza Mwanafunzi Aliyeelezea Miradi Ya Umeme

Samia Mgeni Rasmi Siku Ya Wanawake Jijini Arusha

TPHPA, KEM Wasaini Hati Ya Makubaliano Udhibiti Viuatilifu

NSSF Kutekeleza Mradi Wa Uwekezaji Wa Jengo La Kitega Uchumi Dodoma

WDC Kuboresha Miradi Yake Ya Majengo

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Si ruhusa kufuga, kuchunga, kuvua maeneo ya umwagiliaji
Next Article Rais Mwinyi adhamiria kusimamia ubora wa bidhaa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?