MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: BRELA kuanza kuwasajili wakulima
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > BRELA kuanza kuwasajili wakulima
Habari

BRELA kuanza kuwasajili wakulima

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
WAKALA  wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umejipanga kuanza kuwasajili Wakulima kwa kuwapa nembo ambayo itawatambulisha kibiashara.
Hayo yameelezwa na Ofisa Usajili wa BRELA, Gabriel Giranangay   katika  maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi yajulikanayo kama nanenane, jijini Dodoma.
Katika maonesho hayo amesema, BRELA inawasaidia wakulima kusajili biashara zao rasmi ili kuwa na usajili wa kampuni, ushirika, au biashara ndogo ndogo zinazohusiana na kilimo ili waweze kufanya biashara kwa ufanisi zaidi.
Maelezo yake ni kwamba, usajili wa alama za Biashara  ni muhimu kwa wakulima kulinda jina la bidhaa zao .
Amesema wakala huo hutoa huduma hizo ili kuhakikisha biashara za kilimo zinakubalika kisheria ikiwa ni pamoja na kutoa huduma za ushauri kuhusu jinsi ya kufuata taratibu za kisheria katika biashara ya kilimo, ikiwa ni pamoja na kanuni za usajili, sheria za biashara, na masharti ya leseni.
“Kwa hiyo mchango wa BRELA ni kuhakikisha inachangia katika kuhakikisha kuwa wakulima wanapata huduma zinazohitajika ili kuendesha shughuli zao za kilimo kwa njia rasmi na kisheria, ” amesema
Amesema lengo la BRELA ni kurahisisha mchakato wa usajili, kutoa huduma za leseni, na kuhakikisha kuwa biashara zinakubaliana na sheria na taratibu za nchi.
Pia amesema huduma kuu zinazotolewa na BRELA ni pamoja na Usajili wa Kampuni,Kusajili kampuni, mashirika, na ushirika ikiwa ni pamoja na kutoa mwongozo na ushauri kuhusu sheria za biashara na taratibu za kisheria.

You Might Also Like

Wakili Kanyama Achukua Fomu Mtumba

BUWSSA Yapewa Bilioni 28 Kutatua Tatizo La Maji

Waziri Mkuu Majaliwa ndani ya SGR

Tanzania Hakuna Tatizo La Kidini Wala Kiimani-JMAT

Majukwaa YA Dini Yaimarishe Mapambano Dhidi ya Magonjwa Ya Mlipuko

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ufugaji wa sungura ni fursa  – UDOM
Next Article  Rais Samia aipongeza REA
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Sheria Ya  Kuzuia Shisha Kutungwa, Yabainika Kuwekwa Dawa Za Kulevya
Habari May 29, 2026
Waraibu Wa Dawa Za Kulevya 85,425  Wapatiwa Huduma Ya Tiba Nchini Kwa Mwaka 2025
Habari May 29, 2026
NHC Kuendelea Kutekeleza Miradi Mikubwa Ya Kimkakati Ya Ujenzi Wa Nyumba
Habari May 28, 2026
Kutokulipa Kodi Ya Pango La Ardhi Unakosa Sifa Za Kugombea Nafasi Za Uongozi
Habari May 28, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?