MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Someeni fani zisizo maarufu – mwalimu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Someeni fani zisizo maarufu – mwalimu
Habari

Someeni fani zisizo maarufu – mwalimu

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
MWALIMU wa fani ya useketaji ambayo ni utengenezaji wa vitambaa vya nguo,vikoi kutoka Mamlaka ya Mafunzo na Ufundi Stadi ( VETA), Chuo cha Tabora,  Diana Mlengeki amewaasa vijana kusoma fani ambazo siyo maarufu kwa kuwa ndioi zenye fursa kubwa ya ajira.
Mlengeki amesema hayo jijiji Dodoma kwenye  maonesho ya wakulima,  wafugaji na Wavuvi yanayoendelea.
Amesema vijana wengi wamekuwa wakikimbilia kusoma fani ambazo ni maarufu kama vile ufundi wa magari,umeme na fani nyingine mwisho wa siku anashindwa hata kujiajiri ama kuajiriwa.
Amesema fani kama ya  useketaji  ambayo inafundisha kutengeneza vitambaa vya aina mbalimbali kwa kutumia nyuzi za pamba au nyuzi zozote haina umaarufu lakini ina fursa kubwa ya ajira hata za binafsi.
“Vijana wengi wanakimbilia kujifunza fani za umeme au magari ambazo ni fani maarufu kwa hiyo unakuta hata ajira ikutangazwa inahitaji watu wawili lakini waombaji wanakuwa hata zaidi ya 1,000,sasa hii ni changamoto,” amesema.
Mlengeki amesema,katika chuo hicho wana mashine ndogo na mashine kubwa ambapo unaweza kutengeneza ‘table mart’ na mitandio ambapo  mashine kubwa hutumika kutengeneza vitambaa vya kushonea magauni au mashati na vikoi .
Amesema wao wamelenga kufundisha vijana wa kitanzania ili waweze kujiajiri huku akisema kama viwanda vya hapa nchini  vya nguo na nyuzi vingekuwa vinafanya kazi vizuri basi wanaotoka VETA ndio wangekuwa wataalam katika viwanda hivyo.
Amesema mashine ndogo inapatikana kwa  150,000 na inaweza kutengeneza mitandio miwili kwa siku ya mita mbili mbili na mashine kubwa ambayo huuzwa kwa  milioni 1.5 hutengeneza mitandio  hadi saba  kwa siku.

You Might Also Like

Ofisi Ya Mwandishi Mkuu Wa Sheria Yakamilisha Rasimu Ya Sheria 446 Kwa Lugha Ya Kiswahili

Maboresho sheria, kanuni za madini yameongeza mapato

OSHA Yatoa Gawio Kwa Serikali Zaidi  Ya Bilioni 10

Benjamini Mkapa Yapandikiza Mimba 21, Watano Waongezewa Nguvu Za Kiume

Serikali  Kuja Na Mradi  Wa Kuimarisha Upatikanaji Umeme Vitongojini- Kapinga 

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Udongo wa kupandia mboga mboga unapatikana VETA
Next Article Tume ya umwagiliaji yapambana kuinua kilimo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
Mramba Afungua Mafunzo Ya Teknolojia Ya Nishati Jua Kwa Watalaam
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Miwa Zenye Tija ya Tani 200 kwa Hekta Zaendelea Kuwanufaisha Wakulima
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Mpunga Zazalishwa TARI Dakawa, Ifakara
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?