MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: “Tumejiandaa Vyema Kuzifikia Fursa Za Afcon Kupitia Utalii”-VETA
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > “Tumejiandaa Vyema Kuzifikia Fursa Za Afcon Kupitia Utalii”-VETA
Habari

“Tumejiandaa Vyema Kuzifikia Fursa Za Afcon Kupitia Utalii”-VETA

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu,Morogoro

KUELEKEA mashindano ya mpira wa miguu kwa bara la Africa Afcon, Mamlaka Ya Elimu Na Mafunzo Ya Ufundi Stadi (VETA) imesema imejiandaa  vyema  na kuwataka vijana na wanafunzi wao kutumia fursa hiyo ya mashindano kuonesha bidhaa zao pamoja na kutoa huduma bora.
Mratibu wa Uandaaji Wa Mitalaa kutoka VETA Happynes Salema amesema hayo wakati akizungumza katika banda la VETA katika tamasha la Kitaifa la nne La Utamaduni linaloendelea mkoani Morogoro.
Akizungumza Salema amesema Mamlaka hiyo  VETA ina vyuo 15 vinavyotoa mafunzo ya sekta ya utalii na ukarimu na katika mafunzo hayo yanaenda pamoja na dhana ya utamaduni.
Habari Picha 13497
Habari Picha 13498
Amevitaja vyuo vinavyotoa mafunzo  ya hoteli  kuwa vipo eneo la Njiro,Moshi, Tanga, Mbeya ,Mtwara na kuwataka wanafunzi popote wajijnge na Mamlaka hiyo kupata huduma.
Amesema  katika kipindi hicho cha mashindano, VETA imejiandaa kutoa huduma kwa kipindi chote na kwa  kutumia hoteli zao wamejiandaa kutoa huduma.
“Kwa mfano pale Njiro mkoani Arusha kuna hoteli yetu ya nyota tatu ambapo vijana na wanafunzi waliosoma fani mbalimbali za upishi na sanaa wanaandaliwa kubuni vitu mbalimbali ikiwemo shanga za kimasai,nguo za kiutamaduni na vikoi kwa ajili ya kuhufumia watanzania na wageni.
Kuhusu utalii amesema VETA kupitia vyuo vyake  wanafunzi wanafundishwa  namna ya kulinda utamaduni na kujifunza kucheza ngoma za asili kulingana na makabila tofautitofautu yaliyopo nchini Tanzania.
Amesema katika tamasha la utamaduni wmeleta wanafunzi kuonesha umahiri wa kucheza ngoma kwa ajili ya fani ya utalii pia kuleta ubunifu wa mavazi ambayo yanaakisi utamaduni wa watanzania.

You Might Also Like

Mkandarasi wa mradi wa REGROW, Kilolo  atakiwa kuongeza Kasi.

Bajeti ya TUGHE 2025 Yaidhinishwa

Tutuba: Noti Mpya Kuanza Kutumika Februari Mosi mwaka huu

Maofisa Tarafa na Watendaji wa Kata Waaswa kuwa wabunifu

Malecela Aibuka Kidume Dodoma Mjini, Mavunde Ang’aa Mtumba

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article VETA Yaonesha  Mavazi, Bidhaa Za  Utamaduni Kwa Umahiri Katika Tamasha La Utamaduni
Next Article VETA -Dakawa Kufundisha Namna Ya Kutunza  Mifugo Kupandisha Thamani Ya Ngozi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

VETA -Dakawa Kufundisha Namna Ya Kutunza  Mifugo Kupandisha Thamani Ya Ngozi
Habari August 28, 2026
VETA Yaonesha  Mavazi, Bidhaa Za  Utamaduni Kwa Umahiri Katika Tamasha La Utamaduni
Habari August 28, 2026
TPHPA yawataka wakulima, wafanyabiashara kulinda ubora wa mazao, yafungua soko la viazi Zambia
Habari August 27, 2026
PBPA Yashiriki Tamasha La Nne La Kitaifa La Utamaduni
Habari August 27, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?