MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mfuko Wa Utamaduni Watoa Sh Bil 14.7 Kwa Miradi Ya Sanaa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mfuko Wa Utamaduni Watoa Sh Bil 14.7 Kwa Miradi Ya Sanaa
Habari

Mfuko Wa Utamaduni Watoa Sh Bil 14.7 Kwa Miradi Ya Sanaa

Author
By Author
Share
3 Min Read

Na Lucy Lyatuu,Morogoro

MFUKO Wa Utamaduni Na Sanaa Tanzania  umesema mpaka sasa umetoa jumla ya mikopo yenye thamani ya sh bilioni 14.7 kwa miradi ya sanaa ipatayo 1386 katika mikoa 22 ya Tanzania Bara.

Ofisa Mtendaji Mkuu kutoka Mfuko huo,Nyakaho Mahemba amesema hayo katika tamasha la nne la Taifa la Utamaduni linalofanyika mkoani Morogoro na kuongeza kuwa kwa mkoa huo imetolewa mkopo wa sh milioni 807 kwa miradi ya sanaa ipatayo 93.
Habari Picha 13447
Amesema mfuko wa utamaduni na sanaa una jukumu la kuinua ubora wa kazi za wasanii,habari utamaduni na sanaa ili ziweze kujiendesha kibiashara kuzalisha ajira pamoja na kuchangia pato la Taifa.
“Mfuko unahudumia sekta kuu tatu ikiwemo habari,utamaduni ma sanaa,lakininpia ukitoa huduma  kwa mtu mmojammoja,vikundi na kampujo,”amesema Mahemba na kuongeza kuwa katika utamaduni wanahudumia lugha pamoja na fasihi.
Kuhusu habari amesema unahusisha vyombo vya habari,watenengeneza maudhui na vyombo vya habari na kwa upande wa sanaa wanahudumia sanaa za maonesho,filamu,muziki  pamoja na ufundi.
Habari Picha 13448
Habari Picha 13449
Habari Picha 13450
Amesema kuna huduma kuu tatu ya mkopo wa masharti nafuu,mafunzo na huduma nyingine ya ruzuku.Na Katika mikopo wanatoa kuanzia sh  200,000 hadi sh milioni 200 na riba ikiwa asilimia tisa ambayo inatozwa  katika salio la mkopo.
Amesema pia wana muda wa rehema kuanzia miezi  na rejesho ni mpaka miaka mitatu  na kwamba Mfuko unatoa mafunzo mbalimbali na elimu ya fedha,urasimishaji na ujuzi.
“Hela ipo,mheshimiwa Rais ameweka fedha nyingi hivyo ni jukumu la wasanii na waandishi wa habari kukimbilia fursa hiyo ili kunufaika,”amesema na kuongeza kuwa serikali imedhamiria kukuza uchumi wa makundi hayo na kuwataka pia kufanya marejesho kwa wakati kwa wale ambao tayari wamenufaika ili kuwa na uendelevu wa mfuko na kukuza uchumi.
Kwa upande wake mnufaika wa mkopo kutoka Mfuko huyo ambaye ni Malkia Wa Taarab mkoa wa Morogoro, Amina Kidevu amewataka wasanii kutumianfursa ipatikanayo kutokana na mfuko huo ili waweze kujikwamua kiuchumi.
Habari Picha 13451
” Mkoa Wa Morogoro tayari tumepata mkopo kwa wasanii 50 wenye thamani ya  sh milioni 800,hivyo waliokopa wafanye kazi kwa bidii ili kurejesha mkopo,amesema na kuongeza kuwa yeye tayari amenufaika kwa awamu mbili.

You Might Also Like

Kisima Kimoja Cha Gesi Chaonesha Mshangao Kwa Uzalishaji Wa Gesi-PURA

EAC Yaweka Mguu Chini Ushirikishwaji Wa Wanawake Katika Amani, Ulinzi Na Usalama

Wananchi Kunufaika Na Huduma Za Kijamii Mradi Wa LNG Mkoani Lindi

TARI Yawapa Elimu Wakulima, Maofisa Ugani 165 Kilimo Cha Matunda

CHAUMMA YAAPA KUJENGA BUNGE LA WABUNGE WA HOJA, SI MACHAWA

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article BMT Kutumia Tamasha La Taifa La  Utamaduni Kuelimisha Wananchi Kuhusu Fursa Za Afcon
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

BMT Kutumia Tamasha La Taifa La  Utamaduni Kuelimisha Wananchi Kuhusu Fursa Za Afcon
Habari August 26, 2026
Teknolojia Ya SmartShamba Planter Yageuza Dakika 30 Kuwa Tumaini La Mkulima
Makala August 25, 2026
OUT: Elimu Sasa Kiganjani
Habari Uncategorized August 24, 2026
NGARUMA VTC  Kutoa Mafunzo Katika Fani Mbalimbali Za Ufundi
Habari August 24, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?