MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Sekta Ya Benki Iko Imara- Gavana BOT
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Sekta Ya Benki Iko Imara- Gavana BOT
Habari

Sekta Ya Benki Iko Imara- Gavana BOT

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Dkt Emmanuel Tutuba amewahakikishia wananchi kuwa sekta ya benki nchini iko imara na wananchi hawapaswi kuwa na wasiwasi Wala mashaka yoyote  pale wanapotumia huduma za benki.
Dkt. Tutuba ameyasema hayo  mara baada ya kutembelea  banda la Benki Kuu ya Tanzania linaloshiriki katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam -(Sabasaba)
“Amesema kuwa wananchi ambao wanatumia huduma mbalimbali za benki hawapaswi kuwa na wasiwasi wowote kwani sekta hiyo muhimu kwa uchumi imeimarika vya kutosha,” amesema.
Habari Picha 12788
Kuhusu ushiriki wa BOT katika maonesho hayo, Gavana Tutuba alisema hatua hiyo imechangia pakubwa katika utoaji wa elimu kwa wananchi.
Gavana Tutuba amebainisha kuwa kupitia banda la BOT, wananchi wanapata elimu kuhusu sera za fedha, jinsi ya kujikinga na ulaghai, matumizi sahihi ya huduma za benki na kidijitali.
Amesema BOT itaendelea kusimamia mfumo wa benki ili uwe imara, salama na uweze kuchangia ukuaji wa uchumi wa Taifa.
Hata hivyo ,BoT imetangaza kiwango kipya cha riba ya robo tatu ya mwaka kuwa asilimia 6.25,hivyo kiwango hicho kitaleta utulivu wa bei nchini.
Habari Picha 12789
Ameongeza kuwa maoneaho ya 50 ya Kimataifa ya  Biashara ni fursa nzuri kwa BOT kutoa eleimu kwa wananchi kuhusu sera za fedha na huduma za benki
Kuhusu maadhimisho ya miaka 60 ya BOT, amesema taasisi hiyo imepiga hatua kubwa katika kuimarisha utulivu wa uchumi, usimamizi wa sekta ya benki, mifumo ya malipo, elimu ya fedha na upatikanaji wa huduma za kifedha nchini.
Amesema mafanikio hayo yameifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye uchumi tulivu na mfumo imara wa kifedha unaovutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi

You Might Also Like

Tanzania Kwa Mara Nyingine Mwenyeji Kongamano La eLearning Afrika

CHAUMMA Yalia na Umaskini Katikati ya Utajiri wa Dhahabu

PBPA Yaagizwa Kuharakisha Upokeaji Na Usambazaji Wa Mafuta Nchini

Nchimbi Ahimiza Ushirikiano wa Wizara Katika Uhifadhi wa Mazingira

Fursa za Uwekezaji Kanda ya Ziwa: Buzwagi na Maeneo Mengine ya Kimkakati

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Usafiri Wa Meli Ni Salama, TASHICO Yaahidi Kuuimarisha Zaidi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Usafiri Wa Meli Ni Salama, TASHICO Yaahidi Kuuimarisha Zaidi
Habari July 11, 2026
Wenye Changamoto Za Uhamisho Wa Wanafunzi,Tumieni Banda La Waziri Mkuu Sabasab
Habari July 11, 2026
Maabara Za TARURA Nguzo Ya Ubora Wa Miradi Ya Barabara Na Madaraja Nchini
Habari July 10, 2026
AGITF Kutekeleza Dira Kwa Kasi Kwa Kuwezesha Wakulima Kunufaika Na Mikopo Ya Bei Nafuu
Habari July 10, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?