MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Uwekezaji wa Vijana Watajwa Chachu ya Ukuaji wa Uchumi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Uwekezaji wa Vijana Watajwa Chachu ya Ukuaji wa Uchumi
Habari

Uwekezaji wa Vijana Watajwa Chachu ya Ukuaji wa Uchumi

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
DAR ES SALAAM: SERIKALI imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kuwawezesha vijana wanaoanzisha na kuendeleza biashara kwa lengo la kuongeza ajira, kukuza viwanda na kuimarisha uchumi wa taifa.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amesema Serikali ya Awamu ya Sita imefanya maboresho mbalimbali ya kisera, kisheria na kiutawala yaliyoboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, ikiwemo kupunguza urasimu, kuondoa baadhi ya tozo na kuimarisha huduma za kidijitali.
Habari Picha 12681
Akizungumza katika uzinduzi wa kinywaji cha KIX jijini Dar es Salaam, Kapinga amesema vijana wanaochangamkia fursa za uwekezaji wanapaswa kuungwa mkono, akimtaja mwanzilishi wa bidhaa hiyo kuwa mfano wa kuigwa kwa kuwekeza nchini.
Amesema sekta binafsi ina mchango mkubwa katika uchumi wa taifa kwa kuzalisha ajira nyingi, huku serikali ikiendelea kuweka mazingira rafiki yatakayochochea ukuaji wa viwanda, biashara, kilimo na uchumi wa kidijitali.
Aidha, ameipongeza kampuni ya Amount Group Limited kwa uamuzi wake wa kuwekeza Tanzania na kueleza kuwa mpango wa kujenga kiwanda cha uzalishaji wa KIX unaonesha imani kubwa kwa mazingira ya biashara yaliyopo nchini.
Habari Picha 12682
Kapinga pia amewahimiza wafanyabiashara kuzingatia sheria, viwango vya ubora, utunzaji wa mazingira na uwajibikaji kwa jamii ili kujenga biashara endelevu, huku akiwataka Watanzania kuunga mkono bidhaa zinazozalishwa nchini kwa kuwa ushindani huongeza ubora, ajira na mapato ya taifa.
Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Amount Group Limited, Justine Ishengerema, amesema kampuni hiyo inalenga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha uzalishaji na usambazaji wa kinywaji cha KIX katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kupitia ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kisasa.

You Might Also Like

Vipaumbele Vilivyopo Kwenye Mpango Wa Maendeleo Vitafsiriwe – Majaliwa

Wanafunzi Kutoka Veta Kushiriki Mafunzo Japan

Wanafunzi Msingi Wajitosa Kujifunza Kichina

Profesa Nombo: Ushirikiano wa VETA, Sekta Binafsi Waimarisha Mafunzo ya Ufundi Stadi

Mbarawa Aitaka Jamii Kulinda Miundombinu ya Uchukuzi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Tanzania Yaendelea Kuimarisha Usalama Na Ulinzi Wa Taarifa Binafsi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Tanzania Yaendelea Kuimarisha Usalama Na Ulinzi Wa Taarifa Binafsi
Habari June 29, 2026
WCF Yapigia Debe Ushirikiano na Teknolojia Kuimarisha Hifadhi ya Jamii
Habari June 28, 2026
Sabasaba 2026 Kuingiza Teknolojia Mpya na Fursa za Uwekezaji
Habari June 27, 2026
Benjamin Mkapa Yaanzisha Mfuko Kuchangia Wagonjwa Wa Upandikizaji Figo,Uloto Wasiokuwa Na Uwezo
Habari June 26, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?