MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Benjamin Mkapa Yaanzisha Mfuko Kuchangia Wagonjwa Wa Upandikizaji Figo,Uloto Wasiokuwa Na Uwezo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Benjamin Mkapa Yaanzisha Mfuko Kuchangia Wagonjwa Wa Upandikizaji Figo,Uloto Wasiokuwa Na Uwezo
Habari

Benjamin Mkapa Yaanzisha Mfuko Kuchangia Wagonjwa Wa Upandikizaji Figo,Uloto Wasiokuwa Na Uwezo

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Lyatuu,Dodoma

KATIKA Kuadhimisha miaka 10 tangu kuanza kwa hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH)  iliyoko mkoani Dodoma, imepanga kurudisha tabasamu kwa wagonjwa wa Figo na uloto, wasiokuwa na uwezo ambapo inaitaka jamii kuchangia mfuko wa upandikizaji magonjwa hayo ili wagonjwa wapatiwe huduma.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa BMH, Dkt Abdallah Baja amesema  hayo wakati wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) walipofanya ziara katika hospitali hiyo kujionea huduma bobezi na za kibingwa zitolewazo hapo.
Habari Picha 12656
Akizungumza amesema gharama za matibabu kwa magonjwa hayo ni kubwa, na ili kupanua huduma hizo kwa wasiokuwa na uwezo yapasa wananchi kuchangia mfuko huo kuwezesha wahitaji kupata huduma.
Amesema kwa gharama za kupandikiza uloto hospitalini hapo ni sh milioni 75 kwa mgonjwa mmoja huku upandikizaji wa Figo ukigharimu sh milioni 45, gharama ambayo wananchi wa kawaida ni ngumu kuzifikia lakini kwa kuchangia mfuko huo utawezesha wengi kufikiwa na huduma.
Habari Picha 12657
Alitaja namnamya kuchangia mfuko huo kuwa ni kwa kutuma fedha kupitia namba986930000001 BMH Organ, na wagonjwamwataweza kufikiwa na huduma hiyo
Habari Picha 12658

You Might Also Like

Italia Kuangazia Fursa Za Uwekezaji Ambazo Hazijatambuliwa

Simbachawene Ashauri Suluhu ya Mafuriko Mpwapwa

Kutokulipa Kodi Ya Pango La Ardhi Unakosa Sifa Za Kugombea Nafasi Za Uongozi

Ununuzi Wa Ndege Anga Za Kilimo Uanze Sasa-Bashe

Tumeridhika na kazi za TTCL – Mwanaisha

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Huduma Ya Kupandikiza Uume Benjamin Mkapa Sh mil 10
Next Article Sabasaba 2026 Kuingiza Teknolojia Mpya na Fursa za Uwekezaji
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TTCL  Yatumia Tamasha La Kizimkazi Kueleza  Wananchi Fursa Wanazotoa
Makala August 15, 2026
Rais Samia Afurahishwa Na Huduma za NSSF
Habari August 13, 2026
  VETA Yashiriki Tamasha La Kizimkazi
Habari August 13, 2026
Vijana Watakiwa Kuanza Utekelezaji Wa Mipango Waliyonayo
Habari August 12, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?